Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,896
- 287,986
Basi Lowassa anatisha , Kazima Sherehe za Mapinduzi !hii hali imeletelezwa na mzee wetu mtukufu lowassa, maana ndio kateka media zote za bongo, sijajua ni kwa nini alienda ikulu.!
Subiri media zao zitakapopamba kwa maneno mengi ya sherehe zimefana sana.Hakuna shangwe wala pilikapilika ! Sherehe katikati ya njaa inawezekanaje ?
Huu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .
Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda
Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Wapi nilipoandika kwamba hapakuwa na hotuba au gwaride liloambatana na kuvunjwa matofali kwa kichwa ? Werevu wote wanaelewa maana ya kudoda kwa sherehe .si kweli,mtoa mada unapenda mipasho,mwaka huu hakuna vijembe wala mipasho,
hutoba ya Dr Shein imeonyesha wao kama taifa wamateleleza Mangapi na bado yapi kutekelezwa.
Mtoa mada una sheeda.
Kwani Kigamboni na unguja kuna umbali gani ?Kumbe pilipili ya mbali ata harufu yake inaweza kuwasha!!!!
Sherehe zimeangukia ijumaa ambayo ni siku ya ibaydaHuu ndio ukweli ulio wazi ambao wengi wameunyamazia .
Kiukweli si Zanzibar kwenyewe wala Tanganyika , si mitandaoni wala pengine popote , Sherehe za Mwaka huu za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar zimedoda
Chanzo cha mdororo huu ni nini , na Je kama Taifa tunaelekea wapi ?
Mbavu zangu !Sherehe zimeangukia ijumaa ambayo ni siku ya ibayda