Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 30 ya CWT yaahirishwa

Endeleeni kunipendekeza kwa serikali wakati yenyewe inawatumia kama daraja la mambo yake.

Michango yote mwalimu iwe ya mwenge sijui ujinga gani teacher.

Maslahi ya chini teacher.

No wonder kada ya ualimu siku hizi ipo ipo tu kwa wengi ni chaguo la mwisho baada ya huku kwingine kushindikana.
We bwege uko kada gani. We una laana na ukoo wako maana aliyekuwezesha hata kuja kutuandikia huu upupu wako ni mwalimu. Huna adabu mbwa we
 
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua yafuayayo:

Mosi, ni dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja hawezi kussababisha Serikali yetu pendwa kulipiza kisasi hivyo tuna kila sababu ya kumwondoa mtu huyo ili taasisi yetu ibaki salama.

Mtu huyo anajulikana hivyo kinachofata ni kumwondoa kwa utaratibu wa vikao vyetu kabla chama hakijaharibikiwa.

Pili, sherehe hiyo isingeisha salama kama huko mwanza hilo viongozi wetu walikuwa wameishalinusa pengine uwanja wa CCM kilumba usingebaki salama pia.

Hii ni kwa sababu walimu tunaongozwa na Mhasibu na sio mwalimu mwenzetu.

Tatu, chama ni kikubwa kuliko mtu hivyo hatuna sababu ya kumkumbatia CPA.

Nne, si kwamba Mh. Rais Samia Suluhu amekosa mtu wa kumwakilisha ni kwa sababu bado mama yetu anatupenda na ametupa muda mwingine wa kujitadakari kwa nn tuanaendelea kuongozwa na mtu asiye na nidhamu, pengine angekuwa ameishachukuwa hatua stahiki ila mama ni mama bado anatupenda.

Tano, muda wowote kuanzia sasa lolote laweza kutokea kwenye chama chetu maana tumekuwa kama sikia la kufa.

Mwisho niwashauri viongozi wenzangu tupunguze upambe tuseme ukweli ili kukiokoa chama na tuepuke tutengenezeana ajari, wanaoendelea kumdanganya CPA wanamtengenezea ajari bila yeye kujua anaamini wanampenda na wanamkubali.

Tujitathmini na tuchukue hatua.

Walimu wajinga kweli, kwani mmelazimishwa huyo mama Abdul awe mgeni rasmi? Kama hataki mualikeni Dr Mpango makamu wa Rais au Waziri Mkuu, Yani mnahairisha tukio kisa mtu mmoja. Mmeniangusha sana.
 
Endeleeni kunipendekeza kwa serikali wakati yenyewe inawatumia kama daraja la mambo yake.

Michango yote mwalimu iwe ya mwenge sijui ujinga gani teacher.

Maslahi ya chini teacher.

No wonder kada ya ualimu siku hizi ipo ipo tu kwa wengi ni chaguo la mwisho baada ya huku kwingine kushindikana.

Walimu wanatia aibu sana. Na serikali ilishawadharau na kuwaona takataka.
 
Bunge aweza ongoza mtu yeyote mradi awe mbunge vyama vya kitaalamu kama madaktari,Walimu nk kiongozi anatakiwa kuwa Mwalimu au Daktari.

Chama Cha walimu kweli akili kichwani hazimo waliwekaje Mhasibu. Kweli vichwa vyao vimejaa maji.

Huyo uhasibu kaupatia akiwa tayari mwalimu wa shule ya msingi.
 
Sio Mwalimu ni Mhasibu alijipenyezaje Hadi kuwa kiongozi chama Cha walimu ni kashifa kabisa Tena nzito

Aiseeeh! Wewe utakuwa hujui Mwanzo wa sakata hili. Jamaa aliteuliwa ukuu wa Wilaya akagoma, baadae mkurugenzi akaamuandikia barua ya kurudi kwenye kituo chake Cha kazi, Yani ualimu wa shule ya msingi. Napo akagoma kurudi ndipo shida ikaanzia hapo mpaka Leo.
 
Bunge aweza ongoza mtu yeyote mradi awe mbunge vyama vya kitaalamu kama madaktari,Walimu nk kiongozi anatakiwa kuwa Mwalimu au Daktari.

Chama Cha walimu kweli akili kichwani hazimo waliwekaje Mhasibu. Kweli vichwa vyao vimejaa maji.
huyo Mwamba ni mwalimu wa shule ya Tandika temeke ila amesimamishwa kwa sasa.
 
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua yafuayayo:

Mosi, ni dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja hawezi kussababisha Serikali yetu pendwa kulipiza kisasi hivyo tuna kila sababu ya kumwondoa mtu huyo ili taasisi yetu ibaki salama.

Mtu huyo anajulikana hivyo kinachofata ni kumwondoa kwa utaratibu wa vikao vyetu kabla chama hakijaharibikiwa.

Pili, sherehe hiyo isingeisha salama kama huko mwanza hilo viongozi wetu walikuwa wameishalinusa pengine uwanja wa CCM kilumba usingebaki salama pia.

Hii ni kwa sababu walimu tunaongozwa na Mhasibu na sio mwalimu mwenzetu.

Tatu, chama ni kikubwa kuliko mtu hivyo hatuna sababu ya kumkumbatia CPA.

Nne, si kwamba Mh. Rais Samia Suluhu amekosa mtu wa kumwakilisha ni kwa sababu bado mama yetu anatupenda na ametupa muda mwingine wa kujitadakari kwa nn tuanaendelea kuongozwa na mtu asiye na nidhamu, pengine angekuwa ameishachukuwa hatua stahiki ila mama ni mama bado anatupenda.

Tano, muda wowote kuanzia sasa lolote laweza kutokea kwenye chama chetu maana tumekuwa kama sikia la kufa.

Mwisho niwashauri viongozi wenzangu tupunguze upambe tuseme ukweli ili kukiokoa chama na tuepuke tutengenezeana ajari, wanaoendelea kumdanganya CPA wanamtengenezea ajari bila yeye kujua anaamini wanampenda na wanamkubali.

Tujitathmini na tuchukue hatua.
Hadi hapa sijaona kosa la katibu.

Katibu ni mwalimu hadi juzi anaandikiwa kibali cha kuachishwa kazi.

Ninyi mmeshafitinika tu. Na chama chenu soon kinaanguka na mtagawana mbao.
 
Back
Top Bottom