Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 30 ya CWT yaahirishwa

Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 30 ya CWT yaahirishwa

Kumbe kuna ulaji. Yule mkoba alikuwa mwalimu wangu wa civics o level alikuwa anaonekana akiingia pale atabadilisha mambo maana alikuwa anaponda sana vitu vilivyo. Alipopata nafasi ya uraisi, wanakwambia akawa kama si mwenyewe.
Mkuu ukiona sehemu white house wamepatolea macho ujue kuna pipi imejificha pale, kuna miradi na Donar kibao, watu wanapiga pesa haswa, kaangia jamaa kawadhibiti hawamtaki tena maana wanashindwa kupiga.
 
Ummy ni DR mbona anaongoza Wizara ya Afya? hakuna kitu kama hicho
Anasimamia upande wa siasa sio wa utaalamu.Vyama vyote vya kitaalamu kiwe Cha madaktari au wafamasia nk viongozi wao lazima wawe madaktari,Wafamasia nk

Chama Cha walimu wametia aibu kuweka Mhasibu walilewa walipochagua au walilogwa?
 
Mkuu ukiona sehemu white house wamepatolea macho ujue kuna pipi imejificha pale, kuna miradi na Donar kibao, watu wanapiga pesa haswa, kaangia jamaa kawadhibiti hawamtaki tena maana wanashindwa kupiga.
Ila kweli ile ni pesa isiyo na mwenyewe maana kuwapga buku sijui tano tano dah
 
Nyie walimu ni wajinga sn mmeamua kutumika kisiasa kisa jamaa alikataa uteuzi wa uDC, watanzania wapo 63M, si ateue mwingine?
Huu ndo ukweli.Hovyo sana. Na chama cha walimu kimekuwa cha wanasiasa,kwamba muda wowote wakitaka kuchukua hela basi kusiwe na kipingamizi.

Maganga anazuia,ndo maana anafanyiwa zengwe
 
Anasimamia upande wa siasa sio wa utaalamu.Vyama vyote vya kitaalamu kiwe Cha madaktari au wafamasia nk viongozi wao lazima wawe madaktari,Wafamasia nk

Chama Cha walimu wametia aibu kuweka Mhasibu walilewa walipochagua au walilogwa?
Maganga ni Mwalimu ndiyo maana juzi alitaka kurudishwa shuleni au alikuwa anarudishwa kama Mhasibu? acheni jamaa ale pipi
 
Kwa hiyo alipoitwa na mkurugenzi arudi akafundishe shule ya msingi alikuwa anarudi kama mhasibu au?
 
Maganga ni Mwalimu ndiyo maana juzi alitaka kurudishwa shuleni au alikuwa anarudishwa kama Mhasibu? acheni jamaa ale pipi
Sio Mwalimu ni Mhasibu alijipenyezaje Hadi kuwa kiongozi chama Cha walimu ni kashifa kabisa Tena nzito
 
Sio Mwalimu ni Mhasibu alijipenyezaji Hadi kuwa kiongozi chama Cha walimu ni kashifa kabisa Tena nzito
Juzi Manispaa walimwandikia arudi kufundisha au hukuona barua? acheni ujinga jamaa kawadhibiti majangili ya CWT ndiyo maana mnataka kumuua
 
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua yafuayayo:

Mosi, ni dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja hawezi kussababisha Serikali yetu pendwa kulipiza kisasi hivyo tuna kila sababu ya kumwondoa mtu huyo ili taasisi yetu ibaki salama.

Mtu huyo anajulikana hivyo kinachofata ni kumwondoa kwa utaratibu wa vikao vyetu kabla chama hakijaharibikiwa.

Pili, sherehe hiyo isingeisha salama kama huko mwanza hilo viongozi wetu walikuwa wameishalinusa pengine uwanja wa CCM kilumba usingebaki salama pia.

Hii ni kwa sababu walimu tunaongozwa na Mhasibu na sio mwalimu mwenzetu.

Tatu, chama ni kikubwa kuliko mtu hivyo hatuna sababu ya kumkumbatia CPA.

Nne, si kwamba Mh. Rais Samia Suluhu amekosa mtu wa kumwakilisha ni kwa sababu bado mama yetu anatupenda na ametupa muda mwingine wa kujitadakari kwa nn tuanaendelea kuongozwa na mtu asiye na nidhamu, pengine angekuwa ameishachukuwa hatua stahiki ila mama ni mama bado anatupenda.

Tano, muda wowote kuanzia sasa lolote laweza kutokea kwenye chama chetu maana tumekuwa kama sikia la kufa.

Mwisho niwashauri viongozi wenzangu tupunguze upambe tuseme ukweli ili kukiokoa chama na tuepuke tutengenezeana ajari, wanaoendelea kumdanganya CPA wanamtengenezea ajari bila yeye kujua anaamini wanampenda na wanamkubali.

Tujitathmini na tuchukue hatua.
Ualimu ni taaluma iliyolaanika, walimu.mmetumika kuiba kura, sasa mmegeukia uchawa kwa huyo mchafu
 
Endeleeni kunipendekeza kwa serikali wakati yenyewe inawatumia kama daraja la mambo yake.

Michango yote mwalimu iwe ya mwenge sijui ujinga gani teacher.

Maslahi ya chini teacher.

No wonder kada ya ualimu siku hizi ipo ipo tu kwa wengi ni chaguo la mwisho baada ya huku kwingine kushindikana.
We kima unajipendekeza kwa nani.
 
Back
Top Bottom