Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
hivi huwa mnaweka na bajeti ya kuhonga kwa mwezi?kha!ahsante sana mama yangu kwa kunizaa mwanamke!
wanawake siku hizi nao wanahonga!
hivi huwa mnaweka na bajeti ya kuhonga kwa mwezi?kha!ahsante sana mama yangu kwa kunizaa mwanamke!
Khaa! So ndio nyie mneemeke wengine waumie?!
naongea kutokana na uzoefu wangu. mimi wakati naoa kwanza sikutaka ifanyike sherehe na kama ingebidi nilitaka ifanyike sherehe simple sana lakini nilipata upinzani mkubwa sana kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki mpaka mwisho wa siku ikafanyika sherehe.
So unaweza ukaona muoaji/muolewaji wana nafasi kubwa juu ya sherehe yao lakini ndugu nao wanaushawishi mkubwa zaidi.
All in all kama muoaji ataweka 'huruma' pembeni na kuwa na msimamo thabiti bila kujali kama atawaudhi ndugu, akitaka sherehe (kubwa) isifanyike, haiwezi kufanyika.
Then i am broadening my thinking, Preta, Aspirin, Riwa na wengineo wote uliowataja hapo ni kati ya wale waliotoa mchango wa 100,000 kutoka kwenye biashara zao na kwa bahati mbaya sana kwa biashara zetu za kiswahili huwa tunajibebea tu kutoka kwenye sales za biashara zetu bila kua account for mwisho wa siku biashara zinakufa kwasababu ya michango ya kipuuzi. Mi nakubaliana na wewe kwamba inacreate ajira but tufanye kwa uwezo wetu bila kujistrain sana kama tunavyofanya sasa ambayo haitufanyi tuendelee ila tunaendelea kugawana umasikini tu.mheshimiwa,nasisitiza tena...broaden your mind,nikineemeka mimi kama unavyoita hela nitakayopata nitanunua suti kali ya umc ktk duka la preta,nitaenda kupata vinywaji ktk baa ya babu asprin,nitampeleka mwanangu na mke wangu wakiumwa ktk hospitali ya dk riwa,nitaweka furniture za ofisi yangu kutoka ktk furniture centre anayofanyia kazi mdogo wako,nitaweka credit ktk simu yangu ya kampuni ya simu unayofanyia kazi wewe so nitachangia mshahara wako,pia nitanunua laptop au computer software au services ktk duka lako la vifaa vya computer uliyoanzisha kujiongezea kipato(note nimekupa hela mara 2)etc etc...thats economy
fikiri kwa mapana mkuu.
Hahahahaaa pole mama, mi mwenzio nshachoka nayo siku nyingiiiiii basi tumichanho ya harusi inakera, leo nimetua tu ofsn nimepata mikadi mingine.... Hivi unachakarika ili uchangie watu?
Kwa kweli walaaaa siku hizi nachangia watu wanaonihusu tu.....
Inapaswa ifike kipindi harusi mtu ajikusanye mwenyewe sio kubebeshana majukumu yasiyo na msingi.....
Harusi milioni 15-20 hiyo hela si heri afanyie biashara?
michanho ya harusi inakera, leo nimetua tu ofsn nimepata mikadi mingine.... Hivi unachakarika ili uchangie watu?
Kwa kweli walaaaa siku hizi nachangia watu wanaonihusu tu.....
Inapaswa ifike kipindi harusi mtu ajikusanye mwenyewe sio kubebeshana majukumu yasiyo na msingi.....
Harusi milioni 15-20 hiyo hela si heri afanyie biashara?
Shughuli hazina umuhimu....ni jadi ambao tumeweka sisi au tumezikopy kwa mataifa mengine. Kama kuna ulazima wa sherehe iwe ya kawaida na sio kufuru wapi kwenye vitabu vya dini vimesema lazima ifanywe sherehe.
Nilishawahi kupiga ban suala la michango, so stress free.