The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Hakika mambo hubadilika. Halloween ilikuwaga Haram na marufuku Saudia na ulikuwa ukisheherekea hukumu yake ni kifo kwa kukatwa kichwa.
Lakini miaka ya karibuni imekuwa ikisheherekewa nchini humo na jinsi miaka inavyoenda imekuwa maarufu sana na wengi kusheherekea.
Kwenye Video hapo chini ni usiku wa jana wasaudia kwa furaha wakionyesha mwembe zao za Halloween hadharani.
adriz Mohamed Said Malaria 2 Bwana Utam mjingamimi Al-mukheef