ideal safarimate
Member
- Mar 17, 2016
- 71
- 91
Naangalia sherehe za mei mosi hapa nadhindwa kuelewa mwenyeji wa sherehe ni nani kati ya TUCTA au serikali(waajiri)?
Mkuu wa mkoa wa Dodoma kawa mshereheshaji na waziri Muhagama anashukuru wageni kwa kuja kushirikiana nao.......NANI MTETETEZI WA WAFANYAKAZI?