Asante sana; ni kweli kuwa mimi ni mmoja wa wazee wa hapa JF tuliolizesha jukwaa hili kuwa zito sana enzi zile. Siku hizi kuna watu wanaangika pumba sana kiasi cha kufanya JF lisiewe jukaa la kuelimishana. Kwa bahati mbaya siko Dar, bali mwaliko wangu utaupata kwani huenda nikakutumia kinywaji kwa email.Hongera babu..
Mm nimekufaham kupitia post za tukio la Entebe.. kwa uzi wa the bold nikaona ww ni bonge la babu lenye hekima sana Hongera sana kama upo dar usisite kunialika..
Imebidi jana nikapitia post zako za nyuma kadhaa nizifufue aisee, hv una miaka mingap kwa sasa?Asante sana; ni kweli kuwa mimi ni mmoja wa wazee wa hapa JF tuliolizesha jukwaa hili kuwa zito sana enzi zile. Siku hizi kuna watu wanaangika pumba sana kiasi cha kufanya JF lisiewe jukaa la kuelimishana. Kwa bahati mbaya siko Dar, bali mwaliko wangu utaupata kwani huenda nikakutumia kinywaji kwa email.
mkuu hivi nyi ma platinum hamuwezi kuwashauri JamiiForums jinsi ya kurudisha hadhi ya forum maana naona sasa wapo kibiashara zaidi wanataka iwe kama facebook porojo tu zimejaa humuNi siku kumi na moja zimebaki kutimiza miaka kumi na moja kamili. Kwa sasa hivi niko bize nagema mnazi na ulanzi. Nimeshaweka asali ya kutosha kwa ajili ya wanzuki na ndizi za kutosha kwa ajili mbege. Hata hivyo bado niko nyuma kidogo kuhusu ulaka, dengelua, mataputapu na kimpumu. Nimepata nyama ya nyumbu mmoja ingawa ninataka mbogo wawili. Nadhani yote yatakamilika bila wasiwasi wowote, wewe ni-PM tu nitakutumia shea yako kwa email!
Hongera sana....Wewe ni ajuza wa JFNi siku kumi na moja zimebaki kutimiza miaka kumi na moja kamili. Kwa sasa hivi niko bize nagema mnazi na ulanzi. Nimeshaweka asali ya kutosha kwa ajili ya wanzuki na ndizi za kutosha kwa ajili mbege. Hata hivyo bado niko nyuma kidogo kuhusu ulaka, dengelua, mataputapu na kimpumu. Nimepata nyama ya nyumbu mmoja ingawa ninataka mbogo wawili. Nadhani yote yatakamilika bila wasiwasi wowote, wewe ni-PM tu nitakutumia shea yako kwa email!
.....na kitimoto kitakuwapo
Shikamoo BabuSasa hivi zimebaki siku nne tu!
Hii sherehe si yakukosa mzee KichuguuSasa hivi zimebaki siku nne tu!
Zimebaki siku nne kuanzia leo.
Nia ya post hii ni kuomba ushauri wa kusherehekea siku hiyo ambayo ni kama miezi sita ijayo. Tafadhali nipe maoni yako kuhusu mambo mazuri ya kufanya kuhusu kumbukumbu ya siku hiyo. Ninaamini kuwa uanachama wangu hapa ulichangia kwa namna fulani kuwepo kwa mada za kuelimisha, kukosoa na hata za pumba. Samahani sana kwa zile mada zangu za pumba, naomba mwelekeo wa mbeleni.