Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
- Thread starter
- #21
Hapana sikuwa bar,nilikuwa nyumbani kwa huyu jamaa yangu aliyekopi hayo mambo ya Mzee,alifanya my birthday pati yake kwa kutuumiza matumbo. Nalog offWewe Jumapili si ulisema uko bar gani sijui unacheki game ya Chel5-3a na Liverpool? Mzee Yusuph ninayemzungumzia ni yule kiongozi wa JMT, nikiwa na maana ya Jahazi Modern Taarab, zamani akiimbia Zanzibar Stars, pia ni kakake Bi. Khadija Yusuph, mwimbaji nguli wa kike wa taarab, pia mumewe Leila Rashid na Jokha Kassim, wote waimbaji wa taarab.