kwani na wewe ni flat screen?
Nilikuwa wapi mie jamani wakati wenzangu wanapewa......
Mamaweeee, hapa mie nauza kanyumba ka urithi
Kama huyu mbwembwe zote hizo, utakuta kichwani hamna kitu kabisa, hata ukikaa nae hamna story zozote za maana mtaongea. Ndio hapo ukipiga moja lazima uwahi bafuni halafu kona kubwa saana. Ukimwona mwanaume analilia penzi hapo ujue ----.
Yaani sio siri wanaune wenye macho na pesa za mawazo hatutajenga hasirani! Vipofu na matajiri ndo watafanikiwa.
Uuze nyumba wanawake wa buku jero?wewe punguwani
Tatizo mrefu kwenda chini
We pimbi kweli au una stress za kuachwa na kahaba wako nini? Usidhani kila mtu anachokiandika ndo kumaanisha.
Mfyuuuuuuuuuu zakoooooo
Mama Mdogo hata wewe imekuvutia bisha...!!!!Wanaume, angalieni huo uchu wenu siku moja utakuja kuwaangamiza!!! Haya furahieni na picha hii hapa chini:
View attachment 200495
Hilo tatizo nadhani ni kwako tu.
Hata mimi nimechokozeka.Huyo mwenye jeans za blue nitamwota usiku wa leo!