Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

Shemeji yako anahisi/kagundua kaka yako hana uwezo wa kumsababishia ujauzito. Hivyo anakurubuni wewe akulengeshe umsababishie ujauzito. Mtoto akipatikana hata wakifanya DNA itaonyesha mtoto ni wa kaka yako. Ingawaje itakuwa si kweli. Changanya na zako!
 
MTU anapojalibiwa asiseme amejalibiwa na mungu bali mtu hujalibiwa na tamaa yake mwenyewe
 
Nae mke wako ameshachat na boss kumjulisha upo likizo hivyo amuite kazini wale vinono kwa Uhuru kabisaa, we endelea kucheza Fifa apo. Alaf kwanini usikae huko pembeni walipo wazazi wako ukapiga nao Soga?. Uvulana mbaya sana asee, mwanaume hawezi kuwa hivyo.
 
Last week nimepata annual leave kazini.

Nikamchukua wife (maana naye aliomba leave ya mwezi huu) tukaenda zetu bagamoyo kwa bro kwa mapumziko ambako ndipo wazazi wapo pia.

Sasa bro ana wife mhaya. Ni anajambia mbali mno. Yaani akijamba hapa bagamoyo kinanukia mlandizi.

Urgently, wife akapigiwa simu arudi kazini na kwamba leave ataifanya nxt month. Coz anafanya kaz Hospital ya private.

Bro huwa ni mwanasheria na asubuhi huwa anakwenda kazini. Wife ake ni mama wa home tu. Sema bado hawana mtoto.

Sasa huwa mara nyingi tunabaki home mimi na shemelao na wazazi ila wazazi wanakaa nyumba ya pembeni kidogo.

Yaani nikiwa sebuleni nacheza fifa, shemej anafanya makusudi anajifunga kanga laini inayoonesha hadi nguo za ndani. Huwa anajipitisha pitisha mbele yangu, mara aje nilipokaa aniwekee miguu nione paja laini. Yaani full vitimbwi. Anajifanya mm kama mumewe. Juzi nilikua natoka kwenda mjini akaja hadi chumbani ananikuta nafunga vifungo vya shati, akalazimisha anifunge huku akinitolea tabasamu zito la mahaba.

Yaani Anaonesha kila sababu ya kutaka nimtafune but namkwepa.

Nimeshafanya kosa la kumla beki tatu once, sitorudia tena kosa litakalovunjaa undugu na bro angu.

Hapa nimepanga,
-nimchane live shem
-nimwambie bro
-nisepe kurudi zangu magomeni wiki kesho.
Hivi mbona mnauibisha uanaume lkn!Wazee waliweka walizingatia sana jando kwa vijana wa kiume kwaajili ya watu kama huyu!Huyu ndo anategemewa kuwa kichwa cha familia kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom