JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.