bro nitake radhi, nina element za kike kwa lipi? ulitaka niwaze kama unavo waza wewe!? mbona unaumia kuliko Flora!? au wewe ndio flora? yaan katika woote umeona unipick mimi unitolee kashfa zako? katika woote wewe ndio umeona nina ukike wewe una kiume? katika woote wewe ndio unajifanya unayajua maisha ya ndoa!? we ndio unajifanya unamjua flora eeh!? huo ni ujinga wewe bro!
na mambo ya padri yanahusiana na nn, maana jamaa alikuw padre enzi hizo akavuliwa now kaamua kuoa whats wrong with that!?
tumia akili halaf mwanangu siyo kila mtu wa kumjibu unavotaka wengine ni watu wa staarab unatala kuchafulia sifa zetu hapa. kuwa makini asee!