Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

Inabidi jamaa angemuuliza kwanza bwana Emanuel kwamba huyu mwanamke kamshinda nini hadi ameamua kunyoosha mikono na kumwacha aende, asije akawa amejichukulia tu!
 
inaonekana Flora anapenda type za vijamaa flan hivi vya kujipodoa podoa, kama vi marioo flan hivi.
kila mtu na mapenzi yake bhana.

ila naendele kumsisitiza aache kuimba nyimbo za injili kwa sasa
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwacheni mwenzenu ale maisha mlitaka akae mwenyewe bila kuolewa? Ndoa zina siri kubwa huwezi jua huko chumbani waligombana nini kuna vitu vingine wanandoa hawatowagi nje inakuwa siri yao
 
Back
Top Bottom