Shemeji yenu kachemka swali hili dogo.

siku hizi aisee, yawezekana kataja tu za ziada; za ukweli zingine zinahitaji kuuvunja mshipa wa aibu ndo azitaje!
 
sio wa mjn 2 ata vjjn ivo ivo, yn we um2mie af maitaj amwambie mzaz kwan chup anamvulia mzaz au wewe kdume!!!

Pesa ya chup n makeup atoe mzaz chupi anivue yy afu pesa ya matumiz ukiomba rt wanawakr wa mjin wapenda vibom hahaha kwa mwrndo huo watu tyoe ya JEKI wanawake wazur mjun mtaishia kuwaita dada n shemeji hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Pesa ya chup n makeup atoe mzaz chupi anivue yy afu pesa ya matumiz ukiomba rt wanawakr wa mjin wapenda vibom hahaha kwa mwrndo huo watu tyoe ya JEKI wanawake wazur mjun mtaishia kuwaita dada n shemeji hahahahahaha

aiseeeee!
 
muulizaji mwenyewe ni very Immature: How do u expect a sudden answer? Petro mwenyewe aliguna alipoulizwa Simon Petro Je wanipenda --it took him seconds. Hizi measures nyingine and fantasties mnazojijengea wadogo zangu mtaishia pabaya. Kwanza katika mahusiano yenu wewe utaona signs kuwa anakupendea nini.

Basi endelea kuuliz hivi unaipendea nini kazi yako, mama yako NK..i mean seriously there are other things u can not expect answers at the speed of thought . you are just insecure

Remember the song...... don't love me for a reason !!
 
Leo nimempigia shuti la kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza kwa nini unanipenda? akaanza kuzunguka, nikajua hapa nimempata, utetezi mwingi, ooooh siku zote hizo hujui, nikabana ajibu, baada ya muda mrefu akaja na haya majibu, mstaarabu, mpole, mcheshi na ninajali. Nipo najiuliza hizi kweli ni sababu za mwanamke kukupenda? tena kwa hawa wanawawake wa mujini?????
Your question is also general. Because you asked for LOVE, and not for TRUE LOVE...!
"True Love" has no reason(s), but it is associated with endless and unconditional sacrifices....
So, when you ask any person that why s/he loves you, and s/he gives a reason, then take in mind that s/he don't loves you, but what feature(s) you posses...! Even our blood relatives, we don't loves them just because they are our relatives, but we loves them by coincidence...!
"True Love" does not exist because the loved one is white, black, tall, rich, charming, or otherwise, but it always happens by coincidence, and no one between them can exactly tell why....
 
Mapenzi ya kweli wala hayaangaliagi hivyo, sababu ya yeye kusita kutoa jibu inawezekana hata yeye hajui alikupendea nini, ilitokea tu akakupenda, wasichana/wamama hupenda pale wanapopendwa zaidi, sasa ikitokea ndio kaachia moyo wake kwako, ndio hivyo tena hua wanasahau kila kitu, siku ukimuuliza, nini umenipendea? Utashangaa na yeye anakuuliza, kwani wewe ulinipendea nini? Ukweli hua hawana majibu na haina maana kwamba anakudanganya! Kupenda ni matendo pia, kwani we unamuonaje?
 
Issue inakuja ukute hata kuhonga haongi c bora ajibiwe ivo ipite?? Maana n shudaaa, wanaume wa cku hzi pasua kichwa unashinda ukimwambia eti umemfanya mzaz au unamkomoa sa anataka shida zoote nikamwambie mzaz akat yy ananitumia??
siyo mnatumiana na kufaidiana kweli ?
 
Your question is also general. Because you asked for LOVE, and not for TRUE LOVE...!
"True Love" has no reason(s), but it is associated with endless and unconditional sacrifices....
So, when you ask any person that why s/he loves you, and s/he gives a reason, then take in mind that s/he don't loves you, but what feature(s) you posses...! Even our blood relatives, we don't loves them just because they are our relatives, but we loves them by coincidence...!
"True Love" does not exist because the loved one is white, black, tall, rich, charming, or otherwise, but it always happens by coincidence, and no one between them can exactly tell why....
haswaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!
 
Leo nimempigia shuti la
kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja
nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza
kwa nini unanipenda? akaanza kuzunguka, nikajua hapa nimempata, utetezi
mwingi, ooooh siku zote hizo hujui, nikabana ajibu, baada ya muda mrefu
akaja na haya majibu, mstaarabu, mpole, mcheshi na ninajali. Nipo
najiuliza hizi kweli ni sababu za mwanamke kukupenda? tena kwa hawa
wanawawake wa mujini?????

Financial stastus Men, japo hawezi kukuambia moja kwa moja
 
Leo nimempigia shuti la kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza kwa nini unanipenda? akaanza kuzunguka, nikajua hapa nimempata, utetezi mwingi, ooooh siku zote hizo hujui, nikabana ajibu, baada ya muda mrefu akaja na haya majibu, mstaarabu, mpole, mcheshi na ninajali. Nipo najiuliza hizi kweli ni sababu za mwanamke kukupenda? tena kwa hawa wanawawake wa mujini?????
wanawake w Mujini hawa na ndio mnaowapenda kibaridi@hotmail.com
 
inaonekana wewe una jibu lako tayari. haiwezekni upewe sababu uitilie mashaka.
 
jaman mapenzi ya kweli hayana maaelezo wala sababu bali ni hisia za ndan na za kweli kutoka moyoni..
 
Back
Top Bottom