Shemeji yenu kachemka swali hili dogo.

muulizaji mwenyewe ni very Immature: How do u expect a sudden answer? Petro mwenyewe aliguna alipoulizwa Simon Petro Je wanipenda --it took him seconds. Hizi measures nyingine and fantasties mnazojijengea wadogo zangu mtaishia pabaya. Kwanza katika mahusiano yenu wewe utaona signs kuwa anakupendea nini.

Basi endelea kuuliz hivi unaipendea nini kazi yako, mama yako NK..i mean seriously there are other things u can not expect answers at the speed of thought . you are just insecure

Remember the song...... don't love me for a reason !!

Kinyau,umeongea point yaan mpaka nimefurahii
 
Binadamu haridhiki hata ungepewa jibu baya nalo ungelalamika sasa ulitaka ajibuje mkuu.
 
Leo nimempigia shuti la kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza kwa nini unanipenda? akaanza kuzunguka, nikajua hapa nimempata, utetezi mwingi, ooooh siku zote hizo hujui, nikabana ajibu, baada ya muda mrefu akaja na haya majibu, mstaarabu, mpole, mcheshi na ninajali. Nipo najiuliza hizi kweli ni sababu za mwanamke kukupenda? tena kwa hawa wanawawake wa mujini?????

hivi unajizungumzia wewe ama jibu la mkeo ndio unakuja kusemea kwa wanaume zaidi ya bilioni dunia nzima?

hivi wanawake wa mjini wana matatizo gani kwani?
 
Kupenda ni kupenda yakhe ukiona vijisababu hembu jiulize siku vikiisha kuna penzi
 
Back
Top Bottom