mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
Mbona sioni kama kachemsha kujibu....
Hata me naona kapatia ndo vinavyofanya ampende sasa hataki?? Au hana sifa hizo?? Haha
Mbona sioni kama kachemsha kujibu....
Hongo...mpododo? hakuvisema?!😎mstaarabu, mpole....?
bora angekuwa mkweli anichane nijue moja, halafu kwa nini achukue muda kujibu?
Amechukua miezi mingapi kukujibu?
Watu mnapenda kujichosha na maswali!!!! Natamani awe member humu aje asome jinsi usivyojiamini
Well said ndugu kama hana ajue kapgwa changa hahahha kama anazoa ajue ndo zilizomvutia wifi yetu
maana kaja hapa anatuambia eti kachemka kujibu, maana majibu anayo yeye basi? mitihani mingine mepesi hakuna hata mtu atakayepata Div 5. kwanza swali la kawaida sana. mimi uwa namuuliza wangu wa ubani kwa nini tunagongana vizuri hivi? sikilizia majibu mazuri na matamu maana wote mwaona mchezo, ila hilo swali lake yebo yebo.
hata akiwa member akasoma si nakataa tu siyo mimi.
anhaaaa, kumbe ndo mlivyo wanawake wa mujini!
Amechukua miezi mingapi kukujibu?
Watu mnapenda kujichosha na maswali!!!! Natamani awe member humu aje asome jinsi usivyojiamini