Shemeji yenu hataki tufuge mbwa

Shemeji yenu hataki tufuge mbwa

Mbwa wako ni breed gani ?.[/QUOTE

Ni hawa wa kawaida waliopandishwa na chotara wa ile mbegu kama ya wale wa polisi but yeye ana umbo dogo. Mi napenda hayo makubwa.
 
Wangu ni aina ya Rottweller kama una watoto wadogo sikushauri kabisa hawa ni hatari sana wanamjua mkuu wa nyumba tu au mtu anayewapatia chakula mara kwa mara.Wana wivu sana watoto wadogo wana tabia ya kumkimbilia Baba anaporeje nyumbani Rottweler anaweza kukasirika na kujawa na wivu na kuhisi mtoto anataka kuchukua nafasi yake ya kupendwa siku mtoto akiwa mwenyewe anaweza kumshambulia.

Rottweller anatakiwa mara kwa mara kukaa na watu wa nyumbani na pia nyumba yenye nafasi kubwa sio kumweka uchochoroni akifungiwa ndani muda mrefu anakuwa mkali kupitiliza na anaweza kuwasahau watu wa nyumbani na kufanya mashambulizi yasiyotarajiwa.

Ana aina hiyo......? ......huyu IROKOS anataka mbwa wangu abakwe........Ili afurahi.......

Hapana Preta, nilikuwa natoa ushauri ili hizo mbegu nzuri mbili ziendeleze kizazi.
 
Last edited by a moderator:
Wangu ni aina ya Rottweller kama una watoto wadogo sikushauri kabisa hawa ni hatari sana wanamjua mkuu wa nyumba tu au mtu anayewapatia chakula mara kwa mara.Wana wivu sana watoto wadogo wana tabia ya kumkimbilia Baba anaporeje nyumbani Rottweler anaweza kukasirika na kujawa na wivu na kuhisi mtoto anataka kuchukua nafasi yake ya kupendwa siku mtoto akiwa mwenyewe anaweza kumshambulia.

Rottweller anatakiwa mara kwa mara kukaa na watu wa nyumbani na pia nyumba yenye nafasi kubwa sio kumweka uchochoroni akifungiwa ndani muda mrefu anakuwa mkali kupitiliza na anaweza kuwasahau watu wa nyumbani na kufanya mashambulizi yasiyotarajiwa.

Aisee mkuu wewe kweli ni mzoefu. Kwa maelezo yako huyo Mbwa sitomuweza maana nina watoto wanapenda Mbwa sana nami ni mtu wa kusafiri sana.
 
Huyu sabuni ya roho anataka kunikalia kichwani wakuu.

Kaanza na gambe, sasa amehamia kwenye mbwa, halafu anaweka ngumu vile vitu navyopenda kupita maelezo.

Tokea nikiwa mdogo mimi ndio nilikua nikileta mvwa nyumbani, kwa asilimia kubwa mbwa wamekua wanyama ninao wapenda mno.

sasa huyu mama anataka kunitenga na furaha yangu ya moyo.

Msaada jamani.

inawezekana ni mchawi huyo bebi wako manake naskia wachawi hawapendi mbwa, hivyo mletee nyau, alafu punguzeni mbwembwe vijana nyumba yenyewe ya kupanga chumba kimoja unataka kufuga mambwa ya nini sasa, vishetani vingine havina ishu, eti mtu anafuga mipaka/minyau, mijibwa koko inayouzwa pale Victoria, au dume zima unafufa makucha kama makoreo yanini sasa?
 
Siyo Muhehe Huyo Mkuu? Labda Anajua Unamtania Kwani Si Unajua Hao Jamaa Na Mbwa Ni Kama Vile CHADEMA Na MAJUNGU.
 
Ana aina hiyo......? ......huyu IROKOS anataka mbwa wangu abakwe........Ili afurahi.......

I mean Swiss wa wema sepetu, ila sijui ni aina gani warumi atakua anajua
 
Last edited by a moderator:
Mambwa yafie mbele. Yanachafua uwanja mzima na vinyesi vyao kawa vya binadamu mambo ya kuanza kupita na koleo asbh kuzoa tofauti vimejaa minyoo. Yanabwekea madirishani hadi hakulaliki. Mambwa tupa kuleeee

Hahahahah
Hakuna kitu nilikuwa nachukia kama kuzoa mavi ya mbwa
 
Huyu German sherpherd wangu siku hizi antabia ya kuiba kuku sijui amekumbwa na nini.
 
inawezekana ni mchawi huyo bebi wako manake naskia wachawi hawapendi mbwa, hivyo mletee nyau, alafu punguzeni mbwembwe vijana nyumba yenyewe ya kupanga chumba kimoja unataka kufuga mambwa ya nini sasa, vishetani vingine havina ishu, eti mtu anafuga mipaka/minyau, mijibwa koko inayouzwa pale Victoria, au dume zima unafufa makucha kama makoreo yanini sasa?
hahahahaha hasira za ukawa hizi natania
 
tupia mkuu, napenda german shepherd, hawa wanyama wanahisia kama sisi mkuu ukirudi home anakukimbilia na kukurukia huku anatikisa mkia inaleta hisia nzuri sana mkuu stress zote zinapungua.
German Shepherd siyo Mbwa wa kucheza cheza naye na kukutikisia mkia, hawa ni mbwa wa kazi.

Unataka toy la kucheza nalo, tafuta aina nyingine ya mbwa.

Usiharibu kizazi cha German Shepherd.
 
Mi napenda paka zaidi,tokea utotoni mpaka sasa ingawa nilishawahi kufuga mmbwa at the same time.
R.I.P Tobby my Dog,Mazimbu(CopenHagen)
1996-2003
Street Patroller!
 
Siyo Muhehe Huyo Mkuu? Labda Anajua Unamtania Kwani Si Unajua Hao Jamaa Na Mbwa Ni Kama Vile CHADEMA Na MAJUNGU.

mkuu ubavu umetoka usukumani, chademwa zao ni kuandamana tu, na hivi faza house mpya yeye ni mtu wa kazi basi chadyemwa wajifunze kuandamana vyumbani mwao na hani zao.
 
Itakuwa ina m'stress hasa akikumbuka doggy style alizochezea way back.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom