Shemeji yangu mchokozi

MPEPE

Senior Member
Oct 20, 2012
155
64
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
 
Kwani we huwa unagusana na shemeji yako tu? Huko shule hugusani na wanawake? Wote hao wanakutaka?!
 
wewe jamaa ni mshezni mkubwa..unawaza ufirauni juu ya shemeji yako..ukomekabisa na ukimlamba ujue laana itakuandama na uaanza hadi kufeli masomo yako
 
Miaka 27 bila shaka unasoma chuo. Sasa unatafuta nini kwa kakako kama siyo uchokozi huo? Kakae chuoni, kuna ndugu wengine ni wasumbufu kwelikweli, kwa kuwa tu kakako yupo karibu basi unataka vya dezo. Nenda kapange chumba karibu na chuoni kwako acheni kuwasumbua ndugu zenu na ninyi. Kakako anahitaji faragha na familia yake na si usumbufu wako hapo nyumbani kwake.
 
Dah wengine 26 tumetimiza juzi but home tulishatimuliwa kitambo na vyumba vyetu wameshapewa wengine,, but kuna mijamaa bado ipo kwa kaka zao inanyatia shemeji zao... Kweli watu wanatofautiana
 
Acha kuwaza mambo ya ngono ngono tu. Huyo shemeji yako amempenda kaka yako hivyo kwa kuwa ww ni ndg yake akakujali pia. Jiheshimu uheshimike.
 
Hujui maana ya shemeji wewe?
Ngoja akufundishe!
Ameona huna heshima!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
 
Mnatana wajinga nyie wewe na shemejio mnagusana ili iweje mkulane tu haituhusu ss.


Nayanda
 
Khaaaaaaaaaaaa! We mwana weeeeeeeeee! Yaani wataka KULA NA KUMBAKISHIA BABA!!!!!!!!!!!! Mmmmmmmmmmmmh!
 
Ndio maana nasemaga siku zote bora ukae na shemeji yako hawezi kutembea na dada yake
si umeona hili limeshaanza kummezea mate shemeji yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom