mhh kazi kwelikweli kama nihivyo wanawake wote wenye wazungu wangekuwa na marange mpenzi...ila range nzuri ni ile unayojua uchungu wake japo kidogo bure ghalii:lol:
nimekubali mpendwa ila kabla hujataka haya mambo ya kina mangeleza hebu tulia kwanza kidogo tuone mwisho wao ukoje...nadhani hauko mbali ukiwa mzuri hata mie nataka range mamitooo:lol:nenda U-turn ukaone marange ya wake wa wazungu,kama sio marange basi manyumba ya ukweli,madini mazaga zaga kibao.....mwanamke gani asiyependa hivi jamani?.....hio ya kutolea uchungu mnh kaaaazi kweli kweli ukipewa zawadi utakataa kisa hujaitolea jasho?mie mwenzako sijivungi nikipewa kitu :lol::lol::lol::lol: tena range ndio kabisaaa nitasema asante halafu huyooooooooooooooo kuwaringishia mtaa wa pili kama sio kupeleka picha U- TURN ..:lol::lol:
ooooh mbona kwa mzungu huambiwi hivyo?hayo ya kusaidiana hayapo,sie tunataka ya kupewa hutaki kunipa range nikienda kwa mzungu akanipa usimlaumu mzunguu!!!:lol::lol::lol::hatari:
Saaly...sie na nani?
unaona kilichomkuta huyo dada! range kalikosa, ndoa ndio hiyo inaenda alijojo na fedheha juu. ukitaka kufurahi maisha tafuta cha kwako kwa jasho lako hata kama ni kidogo kiasi gani..anyway I hope haumaanishi unachokisema.
sie tupo kibao tunaotaka hayo marange ya kupewa! wewe je hupendi huo mgari?afu ukisoma vizuri huyo mdada hakupewa wala kuahidiwa range ila alikuja kuchukuliwa vyombo vyake na range :lol::lol:.mwenzako i mean every word i said! lol:lol::hatari::hatari:
This is the perfect Couple...Huyu ndo dadako nini?
Ahaaaa ahaaaa ahaaa Mmakonde hao uliowasema hao banaa huwa wananiacha hoi sana wanakomaa hao:lol::lol::lol:Wanamuita forensic expert. Namuona mama kili na kati ya masaki na babu Ralph.....makubwa !!! Toba. Tunasubiri ya Kisa Maliq
Haswa ingekuwa kama mke anapenda disco ni heri kwenda na mumewe anakwendaje clabu na yeye mke wa mtu
The Following User Says Thank You to Rubuye123 For This Useful Post:ka waifu wake kicheche angegongwa tu vyovyote vile.mi nakasirika sana na hizi kauli za nimeibiwa mke/mume,kwani wallet ile kwamba haiwezi kusema sitaki!?au ye ni milango wazi kwa yeyote alie na mdomo?!mke/mume haibiwi.kauziwa maneno au vitendo(kategwa)au matamaa yake tu,kachojoa,kapigwa afu eti nimeibiwa!mwambie bro wako atupe kule huyo gold digger aangalie mpango wa kulea mwana,asi-risk na ngoma bana maana hajui life span ya babu wa loliondo!
ooooh mbona kwa mzungu huambiwi hivyo?hayo ya kusaidiana hayapo,sie tunataka ya kupewa hutaki kunipa range nikienda kwa mzungu akanipa usimlaumu mzunguu!!!:lol::lol::lol::hatari:
...Huyo kiukweli hawezi tena kurudi katika maisha ya ndoa. Vizee vya kizungu vikiwapata mademu wa kibongo kwa mtama wa pesa na gari wengi wao hukoboa chukuchuku (no condom), pia wanafumua mpaka tigo na akikaa naye muda mrefu demu akazoea hizo takataka ndio anakuwa amepinda jumla....Mwambie bro wako angalie maisha yake na mtoto wake tu!!!ampotezeeeeeeeeeeeee. Huyo hafai hata akimsamehe anaweza kupata mzungu mwingine tena kama huamini nenda kwenye website ya U-TURN