Shemeji yangu huyu ananitega!

kweli wanawake hatuna jema me nilivyoona anakutega nilidhani anapita na tite na short dres, anakaa kihasara, kumbe mrembo wa watu kazidisha adabu kwako imekua nongwa ,kweli wanaume ni kama watoto inatakiwa uwawazie mda wote,

Hauna jema we baba kaaah,
tufanyaje sasa tusipokua na adab ,shemeji ana kiburi , kazidisha adabu ooh anaitega , U HOW???????????????????????
 


I like this! usitende jambo usilopenda kutendewa! shemejio anakuheshi ila heshima yake inazidi mipaka! haipaswi kutandikiwa kitanda na mtu yoyote kama si mkeo au wewe mwenyewe! na inakuwaje anakuandalia nguo za kuvaa? chaguo la nguo uvai ipi ni la mkeo au wewe mwenyewe! kama ungekuwa unampenda mkeo na kulinda ndoa yako ungetafuta jinsi ya kukomesha upuuzi huo! ila wewe unachekelea tuuu! eti ndo nazidi kumpenda zaidi!! sasa unataka tukushauri nini? weka mipaka na shemejio wewe ala!
 

Kwa maelezo yako hapa ni umeshamtamani
 
ushajenga tamaa kwa shemejio hayo mengine vibwagizo......shemeji shemeji huku wazima taa
 
Sema anamtaka huyo shem wake akaona aanze kutoa visababu vya hapa na pale ili kuhalalisha tu
 
Mwali unajua wengine mila hizi ni tofauti kwao !
So unasemaje hapa? Mila ya mke wake haimruhusu kupiga magoti
ila mila ya shemeji (mdogo mtu) inasema ampigie shem wake magoti?
 
So unasemaje hapa? Mila ya mke wake haimruhusu kupiga magoti
ila mila ya shemeji (mdogo mtu) inasema ampigie shem wake magoti?

Mwali inategemea na makuzi labda mkewe alikuwa amekulia mjini na shemejie kijijini si unajua wengine wetu tukiishi mjini hata zile asili tuna ziaacha!
 
acha mambo yako ww usipoangalia utamla mtoto wa watu.hivi ww huoni madhara yake mbele yatakuwaje tusiendeshe na feelings za ajabu ajabu tuangalie kwa upeo bhana daah we huoni noma
 
mhm huyo anataka kufanya mapinduzi hapo nyumbani lol...safi kabisa huyo ndio mkee bwana sio hawa oh am busy need to work shenzi type!!! hudumia mume wako kamaking.
wewe mwana wala usiwe na presha akijiweka karibu mgegede tuu. yote maisha.
 

hivi hata hii ni turn on enh?
ahahhahahahaha duh! watu mna mambo nyie!lol
 
Sidhani kama ana linda ndoa ya dada yake zaidi ya kuhatarisha.
Nifikiri huyu jamaa ana mtamani tuu hana lolote!

 
pole anakupenda coz nawe unamjari kwa kila kitu. ndiyo maana kafall love kwako. kuwa makini maana jogoo akiwika sijui itakuwaje, anaweza shem wako akapiga magoti akusaidia uyo jogoo wako akiwika!!!
hii hatari kweli kweli, huyu anaweza kucheza mechi ya ugenini na akafunga magoli, mana anaonekana yuko kwenye moli kwelikweli
 
Yaani kweli magoti ndio yamekupagawisha? Hapa wewe umemtamani tuu!
 
Dada wa mkeo ni mkeo. Kuliko utafune vimeo nje ni afadhali umkule shemejio.

Za mbayuwayu changanya na zako. Tafakari, chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…