Shemeji yangu Hana chupi

Shemeji yangu Hana chupi

Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
 
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha
Nkamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nkichek mtoto ni booonge la sistaduu,mi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nkamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua
Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
Daaaa! Mxaidie tu coz u never knw atakupa nn badae
 
KIJANA MTOTO KAJILETA MWENYEWE HUYO TUMIA AKILI HAPO ANAKUTEGA SASA WEWE UNATAKIWA USHINDE HUO MTEGO ALIOKUTEGA,WE MUULIZE NI BEI GANI NIKUPE HELA UKANUNUE AU TUONGOZANE WOTE KARIAKOO DUKA LA JUMLA HALAFU MSIKILIZIE ATAKUJIBU NINI KWANZA ILI NIKUPE MWENDELEZO
 
Papuchi ukiikosa lazma ujutie manina fanya ni pm fasta npe namb zake na location namfuata na furushi la chupi wahi mkuu fany hvo please
 
Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
Wewe jamaa ni noma kwa comnt zako, huwa zinanifurahisha sana
 
Ha ha ha afu sijui ndio mtindo mpya, hawa watoto wa form 5 & 6 wanatembea sana na watu wazima, na kawaida ya watu wazima kama sisi huwa tunatoa hela za matumizi kama hayo ya chupi, bajaji na kula chips, kazi kwako mdogo wangu ni kubandua tuu
 
Back
Top Bottom