Shemeji yangu Hana chupi

Shemeji yangu Hana chupi

Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri

Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha

Nikamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nikichek mtoto ni booonge la sistaduu, Mimi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nikamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua

Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mimi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
Weka namba hyo watu wamnunulie bero zima la mtumba
 
Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
Hahahahahaha dah jamaa ni kipofu wa ubongo....mwanamke anaishije bila chupi
 
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri

Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha

Nikamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nikichek mtoto ni booonge la sistaduu, Mimi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nikamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua

Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mimi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
Nitumie number yake nimnunulie mieHamna tatizo
 
Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.

Tena sio ngono tu, huenda jamaa akapewa na kisamvu cha kopo GENTAMYCINE
 
Muuluze akiwa period anasapot vip pedi? Kama haendi period achana nae ni shetan
 
Chupi tu ndio unakuja lalamika....? Kwanza nenda kahakikishe kama hana hizo chupi?
 
Ndo uanamume PICHU una nunua wewe Wanavua wengine..
 
Daah hum ndan burudan sana, nkiwaga bored sana hom naingia hum hasa forum hii kurefresh kichwa
 
Kuna chupi za kambakamba kama BIKINI vile, nimeziona kwenye mall na mlimani city, moja ni 175,000. Naomba namba nimnunulie. Mrembo hawezi tembea bila chupi afu vidume vya kiume tupo
 
Back
Top Bottom