Shemeji yangu Hana chupi

Shemeji yangu Hana chupi

We mwambie kama unamtania kwamba "shemeji unanidanganya, nataka nije nione kama kweli huna chupi". Akikubali na ukawa hujaelewa somo usirudi hapa kuomba ushauri.
 
Najaribu kuangalia vitoto vya early 20's na nikikufikiria na wewe bas acha nikae kimya
 
Mwambie wewe unazo G-string mpaka mlango wa kabati haufungi.
kama vipi aje umgawie mbili wapo au tatu wapo.
 
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha
Nkamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nkichek mtoto ni booonge la sistaduu,mi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nkamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua
Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
Kwa jinsi ulivyo kutukanwa ilikua lazima na chupi lazima ununue...
 
Back
Top Bottom