Shemeji yangu gay, alale na nani?

Kwani lazima umkaribishe nyumbani kwako mtu ambaye tayari anakunyima amani?. Mwambie hamtakuwepo basi kwani lazima aje?

Nasema hivi kwa sababu hujui litakalokupata kwani hawa wana kuwa controlled na spirit za Ushoga. Akija hapo anaweza kuja na hizo spirit akawaambukiza watoto wako au wewe hivyo try to be very careful
Ok,nitampa kitaa
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.

Kama una zizi la punda, mbuzi , kuku au mbwa mlaze huko iwapo una uhakika anafanya ushenzi huo.
 
Mimi ndio huwa napingana sana na watu, kwa sababu ni mwanao eti hata akiwa na tabia mbaya unaona sawa tu cause ni mwanao? huko sio kumpenda bali kumpotosha. Lazima mumuonyeshe kwamba tabia yake si nzuri na haikubaliki kwa Mungu na katika jamii nzima. Kama anataka kushirikiana nanyi basi aache hiyo tabia.

Mimi nina binti mmoja tu, na sijui kama nitakuja pata mtoto mwingine ila kwenye masuala ya malezi niko makini sana sijali eti kwa sababu yuko pekee basi kila afanyacho ni sawa, akikosea namuadabisha vizuri tu bila kujali yuko pekee au la, kifupi sina mchezo kabisa. Huwa anashangaa sometimes ila nadhani akija kua mkubwa ndio ataelewa nilikuwa namaanisha nini.

matty utampata tu Mungu ni mwema na fadhili zake ni za milele asemi uongo
thanks much nilikuwa natafuta jibu la hiyo nimefurahishwa sana na msimamo wako ndio maana nikakuimbia wimbi wa jf ingawa sijaruhusiwa
binafsi na familia yangu naomba nikupe one nty pale kisiriri lodge karibu na tandale ukae na mwenzio mpaka jumapili...tunaitaj wazazi wa misimamo kama nyie ...kuna maswali nauliza kwa nia njema tuko pamoja kiroho
 
Kama una zizi la punda, mbuzi , kuku au mbwa mlaze huko iwapo una uhakika anafanya ushenzi huo.

wewe paul shemeji atakuwaje na uhakika ama unataka kuvunja ndoa za watu dada akisikia hili swali sidhan kama kutakalika ..weeeee kwa wachaga ule mbuzi na mayai yake akiajf watakumaliza ukutane na wamachame ashendede noshaa
 
Hakuna hata stoo mzee hapo maskani umtupie huko na kagodoro kake....akiuliza mbona hivi bwana shemeji unamwambie ujinga wake ndio umepelekea wewe kumuweka huko. Usiruhusu alale na watoto wako awe wa kiume au wakike wana mambo ya kijinga sana hao watu..:hat:
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
Jamani maandiko matakatifu yapotufundisha kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba haimaanishi kuwa ni kutumia tu maubabe, bali ni kuwa na hekima na msimamo wenye faida kwa familia katika maamuzi mbalimbali. Mimi sioni sababu ya kumwa na unafiki kama hilo suala linajulikana kwa pande zote mbili kuwa huyo mtu ni shoga, i mean mkeo anajua na family yote upande wa kwao wanajua, hapo ni wewe kuonyesha tu msimamo kuwa hukubaliani na tabia hiyo chafu aliyonayo shemejio kwa kutomkubalia kukutembelea nyumbani kwako mpaka hapo atakapoacha hiyo tabia chafu.

Na huo msimamo wako ujulikane kwa pande zote mbili bila kuwa na kigugumizi wala chengachenga, hapo utakuwa umesaidia family upande wa ukweni na pia umejiepusha na hatari yoyote kwako mwenyewe na kwa family yako pia. Sidhani kama wakwe watakyfikiria vibaya au kukulaumu kama kweli na wao wanachukizwa na hiyo tabia ya kijana wao. Ila kama hakuna ushahidi wa kutosha ila ni tetesi tu hakuna mwenye uhakika, basi haina maana wala haja ya kumzuia kuja au kumtenga kwa namna yoyote, isipokuwa apewe heshima yake kama watu wengine.
 
Naona itakuwa busara sana alale sebuleni,ila inabidi uwe naye sana makini
kwa kipindi atakachokuwa hapo kwako kwani hawo watu wa hivyo sio riziki asije akakuharibia watoto.
 
Mlaze sebuleni kwa nini watoto uwachanganye na watu wazima? siku hizi dunia imeharibika kama huna chumba cha wageni alale kwenye kochi tu
 
Back
Top Bottom