Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaaam Sanaa Mkuu Poleni na majukumu,Yakutwa Naimani ramadhani inasonga vyema kabisa Niende kwenye mada
Aisee Nina Bwashe (shemeji) Yangu
Alie Niolea Dada Yangu Ananitia jazba
Nahasira kiasi kwamba Natamani kumfanyia jambo lolote baya
Alimuoa dada Akiwa mpole sanaa Na mcha,mungu. Lakini kila alipo kaaa ktk
Ndoa Amekuwa mtu wa kiburi na dhihaka. Anaweza kurudi Nyumbani
Angali amelewa chakari Nakufanya vituko vyaajabu Anatoka na Vimada
Wanje Bila kuwa na khofu Ya ndoa na
Maradhi Ingawa nimtu Na familiar sasa
Alimfanyia timbwili mara Ya kwanza
Sister sister akarudi nyumbani
Alikuja kubembeleza nasisi tuka muelewa
Lakini hakuishia hapo Amezidi kumnyanyasa Dada alipo rudi bila Sababu zamsingi dada amekuwa akilalamika
ilasisi tumejaribu kupuuza ili kulinda ndoa lakini jamaa kazidi kutudharau hadi sisi shemeji zake ilihali hatujawahi taka hata senti yake maana tunajimudu
Nahana uwezo wakutusumbua kipesa
Kwani niwakawaida sanaa kipesa
Sasa amekwarudhana na Dada majuzi kati hajatupa taarifa yotote hali ambayo
Imepelekea Dada kutoroka nampaka Dada anatoroka amekuwa kimyaa tu bila kutujuza kama hakuwepo nyumbani
Anakujakutoa taarifa siku tatu toka mtu atoweke khafla nyumbani Kweli niuungwana huu ??
Tumejaribu kumuuliza kwann anafanya mambo yaajabu Na anakaa kimya bila kufatilia mkewe yupo wapi Anajibu mbaya
Limenikwaza sanaa swala hili naomba ushauri wenu wakuu Nimedhamiria
Kumshtaki police kwa kitendo cha kuto onekana Dada Yangu Na yeye kuto chukua tahadhari yoyote
Sidhani kama ninamakosa hapo wakuu
Dada anauma sanaa ukicheki tupo wachache kwenye familiar
Naombeni ushauri wenu wakuu nimfanye nn huyu bwana kitakacho mpa fundisho maana nikimuweka police
Hakika hatatoka hadi familiar Yake ihakikishe Wamempata Dada Yangu tena akiwa salma kabisaa..