The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 961
Big up brother. Hakuna aliemkamilifu sote tu wadhambi kubwa ni kutubu na kubadilika. Umefanya vyema kumwambia bro wako I hope mambo yatakua shwariSister Cajojo, hili ni kosa ambalo nalijutia sana..at least nmesema hapa nimepata relief kidogo regardless matusi nnayopokea.
Nimemwambia huyu bro kuhusu hiyo issue na nnashukuru Mungu amenielewa na hakutaka tena kuongea chochote na huyu shemej etu zaidi nae amejutia kwa ujinga aliotaka kuufanya.
Kuhusu kupima afya nitafanya hivyo japo najua katika sarakasi zangu zote sijawahi kucheza 'peku' na nilichukua tahadhar zote.
Asante Sisy
Asante mkuu,halafu mkuuinaonesha ni jinsi gani ulivo na akili ya kitoto, yaan hii thread inanithibitishia kua akili yako haina tofauti ya dogo waa darasa la 3D. Endelea na ujinga wako
Aisee..asante kwa ushauri,Kaka yenu alikufa kwa ngoma na Ww umeshaivagaa nakushauri mwambie ndugu yako mwingine asimtomb* huyo demu atawamaliza pia sio busara kugonga demu wa Ndugu yako wa damu hata kama ameshafariki
Asantee sis,Watu humu kujifanya saint! Khaaaa
Mleta uzi ushagundua kosa lako kitu ambacho ndo tabibu wa haya majanga yako!
Usirudie tena!