Shemeji kuwa karimu. Tabia yako usijetulaumu shemeji zako (marafiki wa mmeo)

Ndoa nyingi zina mambo unaeza enda nyumba nyingine ilo la chai ukaona Dogo mim jirani yangu yeye na mkewe sasaiv km kaka na Dada kila mtu ruhusu afanye atakalo jamaa ata akilala wiki nje haina shida mkewe ata akiletwa na bwanaake hakuna maswali wanaishi pamoja kulea sio wapenzi ten
 
Sisi mashemaji ndio tunajua kama unapendwa au vipi kwaio tunahitaji heshima mno
 
Kuwa na tofauti na mumeo kusikufanye ushindwe kuwa mkarimu na wageni wanaokuja, halafu unakuta wageni wenyewe hawajawahi kukukosea
Umewai kuwa mvumilivu juu ya hayo nayoyafikiria kwa muda gani na ukayashinda? Km binadamu wa kawaida I'm sure lazima utachoka, kwani ikiwa mwanaume hawatendei mazuri kwa upande wangu huwa wamemkosea?? Ndoa zina mengi manengelo njoo mueleweshe uyu
 
Nimesoma huu Uzi na comments za watu ila naona wanaochangia wengi hawajaoa au labda mnafuata upepo wa comments za mwanzoni ili msishushuliwe na mleta mada atakuwa mvulana Mdogo asiejielewa na hajaoa!

Hivi wewe mleta mada unaposema Shemeji yako mbaya unamaanisha nini kama sio uswahili? Hivi unapataje ujasiri wa kuleta Uzi hapa wa kusema mke wa jamaa yako mbaya?

Unataka awe mkarimu kwako ni mkeo huyo? Au wewe ndugu wa mume? Unataka awe mkarimu akae mpige story kesho useme Shemeji anajigonga kwangu? Acha uswahili Mkuu umeenda kuwasalimu inatosha ni ushamba kulalamikia chakula na muonekano wa Shemeji yako tena bora hata ungekuwa Ndugu wa mume ungesema kaka kaoa mke mbaya au mke wa kaka sio mkarimu ila sio kwa rafiki tena jinsia tofauti, Mkuu hebu ficha ushamba wako hapa.

Jambo lingine inaonekana huyo rafiki yako ana maisha ya kawaida sana kama hana hata chumba cha wageni mpka akakulaze lodge wakati umeenda kuwasalimu as if umeenda kikazi!

Mwisho kabisa unasema ulienda Wilayani kwa rafiki yako lakini malalamiko yako yanaonyesha wewe umetokea Wilayani zaidi kama sio kijijini na hujielewi, mwanaume mwenye ufahamu wa kutosha huwezi kulalamikia mambo madogo kama chakula wakati kitu muhimu ni kumtembelea rafiki yako, hovyo kabisa, watu wakijijini wakienda mjini ndio wanaolalamikia mambo madogo madogo kama chakula.
 
Back
Top Bottom