Shemeji anataka nimkopeshe

Shemeji anataka nimkopeshe

Jamani hii ni nini? Mke wa jamaa mmoja ambaye sina ukaribu naye na wala sio jirani yangu kivileeee....lakini namfahamu mumewe ambaye anauwezo wa kimaisha .... gari mbili za kutembele ajira serikalini.. mkewe amemfungulia mradi wa kuku wa nyama na mayai..kifupi hela ya kubalilisha mboga haipigi chenga... lakini ananiambia shemeji nikopeshe 100,000/= lakini chonde chonde....mume wangu asijue.. iwe siri yetu... jamani ushauri...

kama shida ni ela na si kingine, mwambie aje nimkopeshe kwa riba..nampa laki anarudisha lak na 30 kwa mwezi...
 
ni kweli iwe sili maana nyie! utamkopesha, kesho uatasikia mtaani hata maendelo yao wewe ndio uliwasaidia!
 
...ndugu wewe si mtafiti mzuri ..we ungetoa hyo hela then hapa uje na mkasa mzima.. baada ya kutoa hela nin kilifuata... Kama ni stori ya kutunga kesho anzisha uzi mpya..then ongeza chumvi nini kilifuatia baada ya kutoa hela..
 
Back
Top Bottom