Zinakuja vzr sana, hasa sie me! Nishawah kula rfk wa manzi yangu enzi tupo chuo,,,, waligombana sana,,, nadhan hadi now hawazungumzi pia wanaishi mikoa tofauti,,,, !
Zinakuja vzr sana, hasa sie me! Nishawah kula rfk wa manzi yangu enzi tupo chuo,,,, waligombana sana,,, nadhan hadi now hawazungumzi pia wanaishi mikoa tofauti,,,, !
Wee bana we..😄 maisha ni safari ndefu. Miaka 10 ijayo, huyo shemeji alishaachana na rafki yako siku nyingi, na wewe mlishazinguana na huyu jamaa yako wa sasa.. utashangaa penzi lenu na shemeji jinsi litakavyopamba moto 🔥🔥 Saa hiyo wote mnatafuta chaka la kustaafia 🤣🤣