Shemeji ananitaka

Bomu linakusogelea hilo, likimbie kabla halijakulipukia
 
Najua vizuri tu hakuna upendo that's why nikamkataa my dear
 
Nimefanya maamuzi ya kuwa mbali nao kabisa mkuu
Na mimi nimemkoki kuwa wewe sio rafiki mzuri kwake, ili niwe salama usije kunisemea. Nimekusingizia tu, na yeye nitamuacha tu, haifiki mwezi wa sita, nataka tu biashara yake ikikaa sawa, ndio nimkimbie. Halafu atataka kurudi kwa jamaa yake yule ambae hana hela, na yeye atamkataa πŸ˜€ .NABASHIRI
 
Alivyoanza kuniapproach nikawa namuomba vipesa vidogo kama elf30k hivi eti akaniambia ningemwambia mapema hiyo laki5 si ndo angeniblock kila mahaliπŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
Si unaona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…njaa tu na misuruali yao ya vitambaa
 
Heee hii Sasa Kali aiseeπŸ₯Ί
 
Si unaona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…njaa tu na misuruali yao ya vitambaa
Elf30 ameninyima hayo majukumu angeyaweza, ndiyo hawa washenzi wanaotaka kula bure tu, akikuona una kakibarua kako umepanga anakuja kabisa kama kwake apikiwe ale
 
Heee hii Sasa Kali aiseeπŸ₯Ί
Pole mkuu wala usiwaze.😁😁😜

Saazingine kwenye kutongozana huwa tunatumia 'rafu' ili kupata na tukishapata huwa tuna maintain penzi na siyo kudestroy au siyo!

Usije jenga picha kichwani kwamba huyu mbaba ni mtu mbad hapana sipo hivyo!

Tukipatana baada ya tongozana mode, hapo penzi na upendo huchukua mkondo wake na kushamiri.
 
Tupia picha tuone kama yaliyomo yamo,maana una visa vingi vya kutoa k, hadi shemeji anakutaka! mmh! najua una mlima kitonga huko nyuma.
 
Tupia picha tuone kama yaliyomo yamo,maana una visa vingi vya kutoa k, hadi shemeji anakutaka! mmh! najua una mlima kitonga huko nyuma.
Hakuna mlima kitonga wala nini, kawaida tu
 
Kwamba wewe ndo shemeji au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…