Shemeji ananitaka

Shemeji umeamua kuleta swala huku wakati tungeweza kumalizana kule mtaani. Hii thread imefanya nimekosa unyumba kwa Anastasia21 leo na kamvua haka ka Daslaam.
Ila wakati unapokea bundles na vizawadi zawadi hukujua kama nitaomba uhifadhi wa muda kwako.

Wembe ni ule ule tu shemeji mpaka unipe
 
Anastasia21 mpe shemeji aache kunisumbua
 
Acha uchoyo dada, mkubalie huyu mwenye nia ya dhati akuwowe.
Nyakati zinakuja utahitaji hata anayepumua tu 😂😂😂 lakini hutampata.
Kumbuka;Majuto ni mjukuu😭
Nina mtu, japo sijui kama atanioa au lah! Ila ningekuwa sina .tungeweza kufanya jambo
 
Huyu alikuwa na tamaa zake tu hakuna upendo hapa mkuu
 
Absolutely 100%. Sio heshima hata kidogo lakini pia itamfanya akudharau, anavyokuchukulia sasa na hapo baadae ukimpa itakuwa tofauti and likely akakuuzia kesi kwa rafiki yake kuwa ulikuwa unamtaka kimapenzi muda mrefu.

Kuwa makini my dear
Asante sana, nipo makini mno ndiyo maana nimeacha mazoea naye kabisa
 
Ukute hata wewe ndio ulimuanza na kumuomba namba, kwahiyo umekata mawasialiano na rafiki ili iwe rahisi kuwa na mwanaume wa mwenzio sio! Hizi mambo za kuchukuliana mabwana mnazo sana mabinti wa siku na wala hujakasirika
 
Ukute hata wewe ndio ulimuanza na kumuomba namba, kwahiyo umekata mawasialiano na rafiki ili iwe rahisi kuwa na mwanaume wa mwenzio sio! Hizi mambo za kuchukuliana mabwana mnazo sana mabinti wa siku na wala hujakasirika
Wala haiko hivyo mkuu, sikumuanza ni yeye alinianza, na huyo rafiki nimekata mazoea maana yupo mbali na ana lifestyle yake ambayo ipo tofauti na mimi na vile vile mimi sihitaji mambo ya marafiki kwasasa
 
Ukijilegeza unaliwa kimasihara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…