maurice bernad
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 314
- 213
Msaidie kutafta icho kitu ili atoke wife asimkute
Fumbo mwerevu kaelewa
Fumbo mwerevu kaelewa
Tafuta kitu cha kufanya uwe busy, soma kitu kipya au kitu kinachokusumbua.yani we acha tu mkuu.yani saiv hata nikimuona moyo unaenda mbio.
Wewe mkataba na kampuni yako umekwisha, badala ya kupambana kutafuta kazi unakaa nyumbani kuangalia makalio ya shemeji yako huku mke wako akiwa anahangaika daaah wewe ni shida sana, na kwa jinsi navoona unaweza ukakaa nyumbani tuu mpaka uzeekee hapoWadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani. asa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3 na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira.
Sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job, mimi nipo tu home na shemeji yangu, kid anapelekwa shule asubuh mpaka jioni. Shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli.. Yaani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana.. Maana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo.
Juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu. Jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje maana uzalendo unaelekea kunishinda asee. Maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.
Naombeni ushauri wenu wadau.
Asanteni.
WEWE UNATAKA KULA KUKU NA MAYAI YAKE WEWE PUMBAVU SANA NA MKEO ATAKUA AMESHAKUBAINI ANAKUVUTIA PUNZIWewe mkataba na kampuni yako umekwisha, badala ya kupambana kutafuta kazi unakaa nyumbani kuangalia makalio ya shemeji yako huku mke wako akiwa anahangaika daaah wewe ni shida sana, na kwa jinsi navoona unaweza ukakaa nyumbani tuu mpaka uzeekee hapo
Mtafune mkuuWadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani. asa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3 na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira.
Sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job, mimi nipo tu home na shemeji yangu, kid anapelekwa shule asubuh mpaka jioni. Shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli.. Yaani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana.. Maana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo.
Juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu. Jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje maana uzalendo unaelekea kunishinda asee. Maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.
Naombeni ushauri wenu wadau.
Asanteni.
Duuhwala hakutegi bali akili yako ndio inajitega. Jaribu kutoshinda nyumbani mpk mkeo anaporudi. Dhambi ya kumla mdogo wa mkeo ni mbaya sana akigundua utaleta ugomvi mkubwa sana kwenye ukoo wao. Be a man ninja yashinde majaribu
shemeji aliliwa kimasihara kwasasa ni mbibi au mshangazi!Ni miaka 10 sasa natumai bado unamla
Hahaha yuko 30's hukoshemeji aliliwa kimasihara kwasasa ni mbibi au mshangazi!
😂😂😂 JF inabidi ikupe tuzo ya kufufua nyuzi aisee 🙌Ni miaka 10 sasa natumai bado unamla