Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Sasa mkataba ukiisha huendi kutafuta mwingine?
Kazi ni kusifia mtoto mdogo alivyobeba!
Hata ukiwa likizo usizoee kushinda nyumbani mchana kutwa.
Sio ishu poa.
 
Mwanaume mzima una family unaridhika kbs kukaa hom wakat waifu anawajibika!!!! shame on u
 
Hayo ndio madhara ya kushinda nyumban m'ume mtu mzima, Utawaza nggono muda wote tu. Utaanza kutaman hadi majirani..!! Toka nyumbn katafute cha kufanya
 
[/QUOTE]
Kiongoz Kwa Sifa Ulizoziainisha Kwenye Huu Uzi Sidhani Kama Shem Wako Atakuwa Hajafanyiwa "Disection". Ila Kiongoz Jitahidi Upate Kaz Ya Kufanya Vinginevyo Utakuwa Unawaza Mbunye 2.
 
umelala na my waifu wako unaota umbo la mdogo wake!!!!

acha uzembe tafuta kazi ya kufanya. bora ukacheze hata draft mtaani kuliko kukaa ndani na mtoto wa kike wenyewe.
Kumbuka yalliyomkuta daudi.

utaaribu familia yako ukiendekeza huo ujinga. wanawake wengi hizo risk huwa hawaziangalii
 
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni

wewe unababaika na figure tu. Je unahakika shemej amepima HIV?
 
Mkuuu unamchelewesha nini huyo? Mgegede fasta ukate hizo ngebe zake.....
 
Watu wengine jmn ujinga2 tu. Umeonesha nia kbs wamtaka na denda linakutoka ka fisi. Mwabaune mzima huweji jiheshimu hlf inaonesha namna gani hakuna heshima ndani ya nyumba yenu. Iweje shemejio aingie chumbani kwenu??ukiwepo? Tena umelala? Lahaula. Huna issue hovyooooo
 
Zuia tamaa zako.umeshajenga huo ujinga akilin mwako embu ufute mara moja.waza matokeo yatakayotokea baada ya kulala na shemeji yako.unataka kuiharibu ndoa yako na wakat mwanao ndo kwanza ana miaka mitatu
 
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni
ndugu yangu achana na shemeji yako. Trust me;endapo mtafanya uzinzi, hiyo zambi itakutafuna siku zote za maisha yako. Utabaki na psychological wounds throughout ur life. Utajuta na kusaga meno, yaani ni bora uchapuke outside.!!!!!! ,Halafu hapo nyumbani kwako, hana mipaka? Shemeji yako ataingiaje chumbani kwako mnapolala ww na mkeo?! Lazima muwe na mipaka na kuheshimiana
 
Daaaa utaleta madharau wewe huyo tuachie tusio na undugu nae tumtoe mapepo ______ Sambaza cell phone no zake hapa
 
Back
Top Bottom