Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

uyo dada ndo kaanza kunitukana lakini..kanijaza upepo nikampasukia

We ni mwanaume mkuu..inakuaje unajazwa upepo unaporomosha matusi..unatuonyesha nini hapa??? By the way... sio lazima matusi ndio ueleweke unachosema...be u..be a man!!
 
Ndugu zangu haya matusi ya nini hapa??? Je watoto au wadogo zenu mnawafundisha matusi??? Naimani huko kwenu yanaruhusiwa je Invisible Paw hii tabia ya matusi hapa inaruhusiwa???

Mkuu kwanini umeunganisha na post yangu kwenye hizo post za lugha chafu?
 
Last edited by a moderator:
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni
mwanamke aliyemaliza chuo akutake mwanaume usie na kazi? we mguse uone anavyopiga kelele za kubakwa
 
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni

umeshamla tayari
 
Then ukisha mfua what wiL b nxt@acha usimbiLis ww##stareh ya dk 10 inaweZa ikakutesa maisha yako yoteeee
 
Mke wangu akiwa anaondoka asubuhi kwenda kutafuta pesa wakati mimi nipo nyumbani nimelala....kamwe siwezi kutangaza hilo kwani ntaona aibu sana

Btw,mkuu

-Ni vizuri usikae mazingira ya karibu yake mara kwa mara especcially mnapobaki wawili.

-Pia Muonye huyo shem wako asithubutu tena kukutega kwakuwa wewe ndio mwanaume mwenye amri unaweza kumkemea,

-Ikishindikana mwambie mkeo amwonye.
 
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni
Inavyo onekana wewe mwenyewe usha fikia maamuzi ya kumgegeda ila sasa bado huja jiamini. Kwa upande wangu sikushauri ufanye huo upuuzi kabisa.
 
Na kwa nn ukae na shemeji yako kwani kwa wazazi wao hawana room ya kumtunza?
 
du mungu akuepushe na hlo balaaa utajuta milele na ikiwezekana mwambie mkeo mapema kabla mambo hyajaharibika
 
Back
Top Bottom