Shemeji anadai massage

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,729
386
Wadau wa MMU tumsaidieje huyu?

"Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, ninakaa na dada yangu hapa jijini Dar ambaye ameolewa na wana mtoto mmoja na kwa sasa dada ni mjamzito tena. Mimi nimafanya kazi kwenye Massage Parlour moja hapa jijini nimeifanya kazi hii kwa miaka 2 sasa na nimekuwa na uzoefu nayo mkubwa.
Shemeji yangu (Mume wa dada) amekuwa akinisumbua sana, alianza na gia ya kunitongoza nikamkataa kwani sikutaka kumsaliti dada yangu anayeniweka mjini, sasa hivi dada amesafiri kikazi kwa kama wiki 2 hivi, shemeji kila akirudi anadai mwili umamuuma nimfanyie massage.,jana ndio katoa kali maana kaja na taulo tu anasema anataka full body massage kwa kweli ilibidi nikimbie nyumba nikalala kwa rafiki yangu.,naombeni ushauri huyu shemeji nimfanyaje nasita kumwambia dada kwani sitaki kuwagombanisha na ninahifia hali ya sasa ya dada..nisaidieni ushauri"
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,230
Utakaaje na shemeji tu pekw yenu?

Haipendezi machoni hata kama hapajatokea masuala ya katakana seuze na Hilo lipo!
 

Nytemare

Member
Sep 12, 2011
31
6
Usimwambie sista ila kwa muda huu ambavo hayupo tulia kwa rafik yako maana atakuja naked sikumoja had kwenye room unakolala midnyte.
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,378
Kama unafanya kazi mwaka wa pili unafanya nini kwa dada na shemeji ? mambo mengine ya kujitakia,hama haraka tafuta hata chumba cha elfu 30 ujinusuru na kunusuru ndoa ya dada.
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,517
2,512
Usirudi hapo na hasa katika kipindi ambacho dada yako amesafiri.

Kama alivyoongea mdau hapo juu kuna siku atakujia usiku na atakubaka, jee unazo nguvu (physical strength) za kumzuia asikufanyie hivyo?

Huyo tayari shetani ameshapanda kichwani kwa hivyo kimbia haraka ili usalimishe uhusiano wako na dada yako na wazee wenu.
 

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Kukaa kwako na dada yako pia kumepelekea haya yote...ondoka hapo haraka iwezekanavyo
 

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,512
3,340
Acha utoto wewee..we si mtaalam wa massage..

Imagine kama wewe ungekuwa docta na shemeji yako anaumwa busha je..ungeacha kumtibia ilhali ukijua kuwa kuwa usipompa hiyo huduma ya kwanza ngiri ikimpanda anaweza kufa...tumia elimu na utaalamu wako kwa manufaa ya ndugu na jamaa zako wa karibu...

mpe massage shemejiyoo..tena kitu ya fully body...au unataka aje ofcn kwako ndio ufunge ofc...

Huyo si mteja tuu.
 

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,919
19,614
Mpe tu yaishe, miaka miwili na unafanya kazi bado upo kwa dada?
Njoo ukae kwangu chakula bure,malazi,usafiri bure,matibabu tena sina demu waweza bahatika jaribu bahati yako!
 

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
5,613
Wewe embu tafuta hata kijisababu uondoke hapo, kuna mijitu mingine huwa inajitoa ufahamu kabisa as if .........! Fikiria siku ikitokea ka bahati mbaya dada yako analikuta linatoka room kwako na hilo litaulo lake, unadhani sister atakuelewa? Jiondokee mwaya, siku akichoka kubembeleza atakuja akushike hata kwa nguvu.
 

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,191
1,639
Mpe anachokitaka kwani anaondoka nacho?! utakufa na utamu wako.
 

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,288
17,724
Kama unafanya kazi mwaka wa pili unafanya nini kwa dada na shemeji ? mambo mengine ya kujitakia,hama haraka tafuta hata chumba cha elfu 30 ujinusuru na kunusuru ndoa ya dada.

I second....kufanya 'kazi' miaka miwili bado unaishi kwa dada yako, hakika kuna kitu unamtafuta, mbaya zaidi umeshajua kuwa shemejiyo anakutaka...

mwambie 'akulipe usepe'

seriously HAMA hapo
 

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,729
386
Kama unafanya kazi mwaka wa pili unafanya nini kwa dada na shemeji ? mambo mengine ya kujitakia,hama haraka tafuta hata chumba cha elfu 30 ujinusuru na kunusuru ndoa ya dada.

Yawezekana bado anajipanga jamani, mbona wengine wanakaa zaidi ya hiyo miaka 2 ndipo wanatafuta makazi yao binafsi?
 

la Jeneral

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
392
57
jipange usepe best maana inawezekana unamtia majaribuni shemejio bila kujijuwa,,,,,na mnavyojuwa kuvimbisha makalio siku hz ndo hatusemi,ukizingatia shemejio ni rijali
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
mwite ofisini kwako umfanyie massage ... ila nawe ni mtu wa ajabu utakaaje kwa shemeji yako miaka miwili inaonekana unapenda kula kulala bure sasa malipo ndo hayo changanya konngoro utoke hapo kama unataka kukaa mpe shemeji yako malipo yake
 

mjasiria

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
4,160
1,822
Huyo jamaa kama anataka massage we mpatie tu, kwani mbona huko kazini unawafanyia wengine. Hebu kuwa professional bwana.
 

Chibidu

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
387
46
Hebu weka picha yako hapa ndio tutajua ni kwanini anakufuata. kisha tutakupa ushauri......otherwise sepa haraka kapange mtaani. unasubiri mpaka ujenge nyumba yako ndio uache utegemezi? kwa maisha haya ya siku hizi unadhani wawezajenga nyumba kwa siku moja weye?
 

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,828
1,659
...wewe si unafanya kazitena mwaka wa pili?utavunja ndoa ya dadako hai ya nani,panga chumba sehemu nyingine binti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom