Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
hhahahahahahahha hali si shwari mnaanza tafunana wenyewe ?
hongera sana na Mungu awe naweaiseeeee inaboa!!!!! unatuma mi PC ya ajabu kha!!!!!!!! dunia imeisha.
ahaSorry kuna member humu ndani ana ID ya habari ya hapa ndio huyo ?
hahaha nimecheka sina jinsi.Sorry kuna member humu ndani ana ID ya habari ya hapa ndio huyo ?
Duu asavali nikajua sasa mtu anapewa makavuaha
hahaha nimecheka sina jinsi.
mkuu [HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] hapo mwanzo ni salamu kwenu tu sio huyo.
hebu nipatie namba zao niwaunganishe na dada moja hivi ndo michezo yake kukoboa madada wenzie[HASHTAG]#eddy love[/HASHTAG] mi sina tabia hiyo. nimeongea kiustaarabu kwa simu na kwa lugha nzuri sana huku kwenye simu ila MGUMU na siwezi kubadili namba kisa hiko tu........ ebu fanya imagination haya ndo yamekukuta.
ni lesibian au shemale hebu fafanua vzr?Yani tungewavuta wakavutika tungeqatafutia wanaume wawabake na wawape mimba kabisa ahahahahahaa wangeacha hiyo tabia chafu
Sawa umeelewekai think msg alredy sent and derivery hawatarudi. na nnahisi ni wa 2 ila wana ID mbilimbili unachogundua tu ni miandiko yao.
MhHabari ya hapa!!!!!!
Naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za watu sihitaji nilishakuambia usagaji sitaki am a girl and not boy! mitego yako nimeitambua kama ni uhaba wa hela matunzo yaliyopo yananitosha.
Na sijui nani kakwambia upekue maprofl ya watu fb na kuondoka na namba za watu huku hata huwajui unaanza kumtongoza mtu japo unaambiwa mimi ni KE mwenzio wew unakomalia haina tabu umezoea ooh kama nataka hela utanikabidhi kikadi cha benki jamani!!!!!! pia wale walionijaribu hapo zamani huko PM baada ya kuniona kimya saivi mmeibuka tena.
Nasema hivi (msisitizo) shemale mnikomeeeeeeee.
Hebu nipe namba nikawahudumie..
i think msg alredy sent and derivery hawatarudi. na nnahisi ni wa 2 ila wana ID mbilimbili unachogundua tu ni miandiko yao.
wapo humuu!!etttiiii....?!!!Daah ...ukistaajabu ya musa...
Nasikiasikia ila sina uhakika kwamba wanaopenda kufanyiwa hayo mambo wengi wake za watu tena maarufu wengine, kuna mwingine mmama mwenye ndoa yake nasikia kampa kadada kanakomfanyia hio michezo nyumba gari ya kutembelea na benki,akaunt haikauki hata kidogo,mdada alikua anasema mmama hajawahi kuonja raha ya kufika kileleni na kale kautamu,sasa kamuonjesha na kadada kawa chizi, hamtamani hata mumewe
Kwanza nakusifu kuna sehemu unaongea point nzuri sana.Kabla ya kuniuliza ninaunga mkono ushoga ilibidi ujiulize ushoga chanzo chake utokea wapi kitu ninacho kiona kwako ni uwezo wa kiakili ulionao kuwa mdogo na akili iliyo fungwa na unafiki je yesu alipo mtetea mwanamke mzinzi alikuwa anaunga mkono uzinzi au la nijibu sasa nakujibu siungi