yamenikuta fb na humu pia ndo maana nimekuwa mkali sana naona wanazagaa ovyo.Hata mimi sijaelewa maana hapa wewe umesema watu wamepukua profile yako nakuchukua namba zako FB sasa sijui kosa la mdau aliyesema hizo habari ungeacha Facebook ni lipi
Chini ndio ukaelezea habari za pm za zamani kidogo
Kweli jasiri limejikaza mpaka likaiomba jamani mfano ungempa angeishia kuidharirisha bila kuitendea hakisiwaelewi kabisaaaa waniepukilie mbaliiiiiii.

Mhhhhhh nifaaaaaaa ntakuchapaaaMaisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki![]()
Duu pole sanayamenikuta fb na humu pia ndo maana nimekuwa mkali sana naona wanazagaa ovyo.
Hahaha! Nganashe wasubirie wanakufuata PM sasa hivi. HahahahaMaisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki![]()
Mmmh.. utata. Jina lako halionyeshi jinsia inakuaje mtu aanze tu kukupm na kukupa ahadi zote hizo? Au ulikua unawaentertain waliokua wanakutafuta mpaka mkafikia huko? Siamini mtu aanze tu kukuambia hizo mambo.
Mmmh.. utata. Jina lako halionyeshi jinsia inakuaje mtu aanze tu kukupm na kukupa ahadi zote hizo? Au ulikua unawaentertain waliokua wanakutafuta mpaka mkafikia huko? Siamini mtu aanze tu kukuambia hizo mambo.
Kwa hasira naomba nikupick hadharani atambue wewe c namna ile ni wenye mihogo tu tunafaa kutumia chachandu yako..!sijui
Daah ...ukistaajabu ya musa...
Nasikiasikia ila sina uhakika kwamba wanaopenda kufanyiwa hayo mambo wengi wake za watu tena maarufu wengine, kuna mwingine mmama mwenye ndoa yake nasikia kampa kadada kanakomfanyia hio michezo nyumba gari ya kutembelea na benki,akaunt haikauki hata kidogo,mdada alikua anasema mmama hajawahi kuonja raha ya kufika kileleni na kale kautamu,sasa kamuonjesha na kadada kawa chizi, hamtamani hata mumewe
Ujumbe umefika bi dada nafikiri watakomahabari ya hapa!!!!!!
naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za watu sihitaji nilishakuambia usagaji sitaki am a girl and not boy! mitego yako nimeitambua kama ni uhaba wa hela matunzo yaliyopo yananitosha........ na sijui nani kakwambia upekue maprofl ya watu fb na kuondoka na namba za watu huku hata huwajui unaanza kumtongoza mtu japo unaambiwa mimi ni KE mwenzio wew unakomalia haina tabu umezoea ooh kama nataka hela utanikabidhi kikadi cha benki jamani!!!!!! pia wale walionijaribu hapo zamani huko PM baada ya kuniona kimya saivi mmeibuka tena...
nasema ivi (msisitizo) shemale mnikomeeeeeeee.
sasa mambo ya Pm unaleta huku vp naye akikujibu hukuhuku?ivi u
meelewa???????? fb kuna PM?????? rudia kusoma.
hela ni kama ndoano inavyovua samaki ndivyo utakavyoweza kuopolewaMaisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki![]()
Mtumie namba zangu mdanganye mimi ni KE, NB; Jitahidi unitumie hiyo mi PC ya ajabu PM ili nianze ku deal naye, hakika hatakusumbua tena. kwanza yupo nchi gani? Fursa hii siwezi kuiachaaiseeeee inaboa!!!!! unatuma mi PC ya ajabu kha!!!!!!!! dunia imeisha.