Shem tusamehe, halikuwa lengo letu.

Shem tusamehe, halikuwa lengo letu.

Dah tumepangusa vumbi kanzu huku mikono ina masizi.

Kulitokea sintofaham kati ya broh na shem (mke wake). Baada ya ule ugomvi, shem akawa amenuna siku 3 mfululizo. Nimeenda kuwatembelea ndio broh ananimegea hiyo story.

Chanzo cha ugomvi ni kwamba kulitokea kutupiana maneno hadi kufikia kushikana mashati kati ya mke wa broh na Mama wa nyumba ya jirani kisa ni watoto. Broh alipotoka ndani kwenda kuamulia, kwa jinsi maelezo yalivyotoka ikaonesha wazi shem ndio alikuwa mkorofi. Aliwatenganisha na kumrudisha wife wake ndani.

Kufika ndani wife kafura why broh ajamzaba hata kofi yule mama wa jirani?

Kifupi mzozo wao ulianza hivyo yani.

Nkajaribu kumshauri broh, kuwa kwa jinsi wanawake walivyo, ni kwamba baada ya siku 3 za kununa, ameshamsamehe tayari ila inabidi broh ajiongeze/ajishushe kidogo ili mambo yarudi sawa.

Sasa juzi wakati tupo town na broh, tukapita mbele ya duka la vitambaa, khanga na vitenge. Nikamshauri amchukulie shem hata doti moja ya khanga. Katika kuchagua chagua, tukachagua khanga ina rangi ya dhambarau na doti nyingine rangi kama ya njano mpauko. After that tukapitia butcher akachukua nyama kilo na nusu.

Tukaagana broh akaelekea kwake na Mimi nikarudi kwangu.

Shem alifurahi sana kwa Kale ka parcel hasa doti za khanga. Lengo la kumchagulia zile rangi ni kwamba ndio ambazo anazipenda sana. Tofauti na matarajio, shem hakudeal na rangi, fasta akaenda kwenye maneno yaliyoandikwa.

Ile doti ya dhambarau iliandikwa "Kidomodomo chako ndio kimekuponza" wakati ile ya njano iliandikwa "Na bado"

Yani sina haja ya kuwaelezea reaction yake wakuu. Kifupi tumejaribu kuzima moto kwa petrol.

Kumbe uchaguzi wao hubase kwenye maneno na sio rangi.

MSISEME HAMKUAMBIWA.

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Broh ako kuwa mkanunue kitenge kingine kilichoandikwa kuwa "Ni utani tu mpenzi kukumbusha yaliyopita ili ukikasirika nikumbembeleze tena"

Au

"Nimekukasirisha kwa masudi ili nikupetipeti"

Baada yapo mwambie "nataka nikujazie nguo humu ndani mpaka wakushangae"

Ahsant Mkuu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntajaribu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama nilimnunulia zawadi simu bonge la simu, Samsung Note Galaxy mpya nimeipata kabla ya release date kwenye tech networks zangu za New York, nimekuja nayo bongo mpyaaa, ina vikorombwezo mpaka vya kuzima na kuwasha taa ya chumbani bila kugusa switch ya ukuta.

Nikampelekea.

Kumbe yeye shida yake kubwa anataka simu yenye line mbili tu, hayo makorombwezo mengine yoote si muhimu kwake na hata kuyatumia siyo tu hajui, hana hata utashi wa kujifunza.

Na hiyo Samsung ya kishua, ina line moja tu!

Ikaja kutokea mpaka vijana wa nyumbani wakabadilishana naye ile simu.

Nikasema do salaaale.

Unaponunua zawadi, inabidi ujipange ujue zawadi itakayofaa.
ndio maana huwa nampa tu ela akajinunulie zawadi anayotaka mwenyew
 
Rudini tena dukani hamna namna tena
 
Dah tumepangusa vumbi kanzu huku mikono ina masizi.

Kulitokea sintofaham kati ya broh na shem (mke wake). Baada ya ule ugomvi, shem akawa amenuna siku 3 mfululizo. Nimeenda kuwatembelea ndio broh ananimegea hiyo story.

Chanzo cha ugomvi ni kwamba kulitokea kutupiana maneno hadi kufikia kushikana mashati kati ya mke wa broh na Mama wa nyumba ya jirani kisa ni watoto. Broh alipotoka ndani kwenda kuamulia, kwa jinsi maelezo yalivyotoka ikaonesha wazi shem ndio alikuwa mkorofi. Aliwatenganisha na kumrudisha wife wake ndani.

Kufika ndani wife kafura why broh ajamzaba hata kofi yule mama wa jirani?

Kifupi mzozo wao ulianza hivyo yani.

Nkajaribu kumshauri broh, kuwa kwa jinsi wanawake walivyo, ni kwamba baada ya siku 3 za kununa, ameshamsamehe tayari ila inabidi broh ajiongeze/ajishushe kidogo ili mambo yarudi sawa.

Sasa juzi wakati tupo town na broh, tukapita mbele ya duka la vitambaa, khanga na vitenge. Nikamshauri amchukulie shem hata doti moja ya khanga. Katika kuchagua chagua, tukachagua khanga ina rangi ya dhambarau na doti nyingine rangi kama ya njano mpauko. After that tukapitia butcher akachukua nyama kilo na nusu.

Tukaagana broh akaelekea kwake na Mimi nikarudi kwangu.

Shem alifurahi sana kwa Kale ka parcel hasa doti za khanga. Lengo la kumchagulia zile rangi ni kwamba ndio ambazo anazipenda sana. Tofauti na matarajio, shem hakudeal na rangi, fasta akaenda kwenye maneno yaliyoandikwa.

Ile doti ya dhambarau iliandikwa "Kidomodomo chako ndio kimekuponza" wakati ile ya njano iliandikwa "Na bado"

Yani sina haja ya kuwaelezea reaction yake wakuu. Kifupi tumejaribu kuzima moto kwa petrol.

Kumbe uchaguzi wao hubase kwenye maneno na sio rangi.

MSISEME HAMKUAMBIWA.

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uwongo! Brother wako hawezi kuwa careless kiasi hicho cha kumnunulia mkewe kanga zenye maneno ya hovyo namna hiyo. Na kama ni kweli basis wewe na huyo brother wako wote ni wavulana tu. Hamuwezi kuwa wanaume!
 
Dah tumepangusa vumbi kanzu huku mikono ina masizi.

Kulitokea sintofaham kati ya broh na shem (mke wake). Baada ya ule ugomvi, shem akawa amenuna siku 3 mfululizo. Nimeenda kuwatembelea ndio broh ananimegea hiyo story.

Chanzo cha ugomvi ni kwamba kulitokea kutupiana maneno hadi kufikia kushikana mashati kati ya mke wa broh na Mama wa nyumba ya jirani kisa ni watoto. Broh alipotoka ndani kwenda kuamulia, kwa jinsi maelezo yalivyotoka ikaonesha wazi shem ndio alikuwa mkorofi. Aliwatenganisha na kumrudisha wife wake ndani.

Kufika ndani wife kafura why broh ajamzaba hata kofi yule mama wa jirani?

Kifupi mzozo wao ulianza hivyo yani.

Nkajaribu kumshauri broh, kuwa kwa jinsi wanawake walivyo, ni kwamba baada ya siku 3 za kununa, ameshamsamehe tayari ila inabidi broh ajiongeze/ajishushe kidogo ili mambo yarudi sawa.

Sasa juzi wakati tupo town na broh, tukapita mbele ya duka la vitambaa, khanga na vitenge. Nikamshauri amchukulie shem hata doti moja ya khanga. Katika kuchagua chagua, tukachagua khanga ina rangi ya dhambarau na doti nyingine rangi kama ya njano mpauko. After that tukapitia butcher akachukua nyama kilo na nusu.

Tukaagana broh akaelekea kwake na Mimi nikarudi kwangu.

Shem alifurahi sana kwa Kale ka parcel hasa doti za khanga. Lengo la kumchagulia zile rangi ni kwamba ndio ambazo anazipenda sana. Tofauti na matarajio, shem hakudeal na rangi, fasta akaenda kwenye maneno yaliyoandikwa.

Ile doti ya dhambarau iliandikwa "Kidomodomo chako ndio kimekuponza" wakati ile ya njano iliandikwa "Na bado"

Yani sina haja ya kuwaelezea reaction yake wakuu. Kifupi tumejaribu kuzima moto kwa petrol.

Kumbe uchaguzi wao hubase kwenye maneno na sio rangi.

MSISEME HAMKUAMBIWA.

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na uyo kaka ako utafikiri ni vipofu haya hivyo vijembe vya kwenye kanga hamkuviona. Basi mara ya pili mnunulieni simu ya ghali.
 
Back
Top Bottom