Shem kamfukuza dada home..

Shem kamfukuza dada home..

Duh, kumbe bado kuna watu mnaishi kwa shemeji zenu?

Endelea Tu kuishi hapo, alete mke mwingine ushikwe na wivu ufe.
 
Mtoa mada umeamka salama?? Hili ni swali la msingi sana

Tuanzie apo
 
Unaweza kucheka msibani badala ya kulia......akili za hovyo kama hizi ni matatizo makubwa
 
Naona mwenye uzi kaukimbia kawa nae ni ndugu mtazamaji
 
Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Wakati unaangalia mpira ataingiza mwanamke mwingine humo ndani.
Bado akiona hushituki, atakuoa wewe.
 
Nilivyosoma kichwa cha huu Uzi nikafungua ili nicheke tu,sina cha kumshauri mleta mada
 
Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Ya kutungwa hiyo.....
 
Back
Top Bottom