Nipo my dearMamii upo
Nipo my dear
Habari za siku mingi mingi...
Sitapotea tena jamani dear...Salama tu umepotea sana
Sawa. Mimi naendelea vizuriSitapotea tena jamani dear...
Maendeleo yako niaje mamii
Mungu ni mwemaSawa. Mimi naendelea vizuri
doesn't sound legit be nice homegirl,kweli aka replace dadaake??
Wakati unaangalia mpira ataingiza mwanamke mwingine humo ndani.Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Ha haAiish!
Hamia chumbani kwa dadaako
Umreplace
Ya kutungwa hiyo.....Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Inch 12 NakaziaAiish!
Hamia chumbani kwa dadaako
Umreplace