Shem kamfukuza dada home..

Shem kamfukuza dada home..

Onyesha solidarity na dada yako. Kwanza, ujue upo hapo kwa ticket yake. Asipokuwepo hata wewe unapoteza uhalali wa kuwepo hapo. Hebu na wewe ondoka.
 
Huyo shemeji yako anaweza akatoka kazini akaanza kukupikia.
Dunia ina mambo, you never know!
 
Zima hiyo luninga Fanya usafi kwanza ndani,alafu sio poa shem jana kaja na msosi take away na vyombo mlivyotumia hujaosha,pia shem wako anawahi kutoka asbuhi hivyo onyesha ukarimu japo kwa kumtandikia kitanda,,sasa endelea kucheki game maana huna tofauti na dada yako na usiku jamaa atalalamika kuumwa itabidi ukamsaidie,,kifup lazima akuambarity
 
Binadamu tunatofautiana sana,kipindi nasoma primary ,nilikuwa nasoma mkoa fulani,mbali na nyumbani,ila kwenye huo mkoa alikuwa anaishi dada na mume wake,walikuwa wanapesa sana ila likizo ikifika naenda moja kwa moja nyumbani kwetu,wakiniuliza wewe mtoto mbona hujaenda kwa dada,majibu nilikuwa nimewamic wazazi wangu,

Mpaka namaliza miaka mitatu sikuwahi kwenda kwa dada,

Ilifika likizo ikiisha nafuata na gari mpaka shuleni,ila nikimuona dada lazima nimtoroke tu

Wala sikuwa na ugomvi naye,ila nilikuwa nafikiria kama watagombana itakuaje

Kuna siku baba alimwambia mama ukiniletea ujinga nakufukuza unarudi kwenu,hapo ndo akili ilinikaa vzr

Ndo ikawa sitaki kwenda kwa dada tena umri wangu ilikuwa miaka 11+
 
Mpaka leo najitegemea sijawahi kwenda kwa dada
 
Ulikuwa mjinga kimsingi....!! Huwezi kuogopa kwenda kwa dada ako eti kisa kesho akifukuzwa au kuachana na mume wake itakuwaje??? Maisha hayaendi hivyo mzee je wasipoachana milele huoni kama utakuwa umetengeneza fikra mbaya kwa shemeji yako...kana kwamba kwenu wamekukataza kwenda huko.. Haukuwa sawaa kabisa
 
Haya mambo yanaonekana kama vichekesho ila yalishanikuta nilikuwa likizo usiku mmoja watu wakadundana asubuhi sister katimua zake mi nikabaki sema nilijua atarudi tu. Shemeji alikuwa muungwana sana akaniomba radhi kwa kelele za usiku nikashindwa hata cha kuongea. Baada ya siku moja alirudi tukaondoka kwenda kwa sister mwingine nikamuacha hapo mi nikaenda shule, siku moja nikampigia sister nikamuuliza sister fulani bado yupo akaniambia awepo wapi, baada ya siku mbili tu mumewe alikuja hapa wakaondoka.
 
Back
Top Bottom