EMpty Set ......aliwazalo Mjinga ndio litakalomtokea....Usitafute umaarufu Kunuka JF.Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Sasa dada yako kaachwa, wewe ubaki hapo unafanya nini??Ushauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Baki tu akualike chumbani kwake ili usiwe mpweke, tena anaweza akaihamisha DSTv chumbani kabisa kwaajili yako. Mtatolewa marinda kupenda mteremko.
Mi ningeuliza chanzo cha ugomvi, na kama kweli anamtesa dada bila sababu, basi shem angechezea KIFURUSHI UNLIMITED (Cha Chuo) cha vitasa.
Wanaume sometimes tunawaonea sana wanawake, bila sababu, hasa tukijua wanatupenda kupita kiasi (Japo na wao wana vitimbi heavy).
Ingekuwa baba ndo kamfukuza mamaUshauri wandugu dada kafukuzwa nyumbani na shemeji Kasema asimuonee tena...
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game... Na kesho si mnajua kuna big game ...
Sidhani kama umewahi kupigana, usingeuliza hilo swali. Mtu hata awe na mwili mkubwa kama wa tembo. Ukichelewa ukawahiwa panapotakiwa, basi hata boxer utavuliwa.Huyo shemeji ni bwege mpaka umpige kizembe hivyo?
Sasa najiuliza na Mimi nisepe au nibaki Japo kuondoka roho inauma mana kuna Supersport huwa nacheki game