Shem alioteshwa je kuna ukweli?

Shem alioteshwa je kuna ukweli?

Nilikuwa najiuliza sana, kwa nini nimemuota? Tena sina mazoea nae, halafu kwa nini alikuja kukaa karibu na mimi siku hiyo?
Nikaona labda shetani ananatega, nilihama nafasi ili kuepusha fitna ya nafsi...manake akili ilikuwa inanambia nimsimulie...na ninavyowajua wanaume angekamata fursa.
Kama ni hivyo sawa

Wanasema Moyo ni mganga, kwahiyo ulifanya la maana sana huwezi jua ulijiepusha na kitu gani, ni vizuri kuiepuka shari
 
Ni kweli ameumia.Lakini amshukuru Mungu kamuepusha na majanga.Endeleeni kumuombea kwani bado ana roho ya uchungu.Otherwise deliverance inamhusu na hiyo roho ya kukataliwa.
 
Aisee, shukuruni Mungu sio mimi maana ningekuwa natoa adhabu papo kwa papo! Watu mmezidi kumuongopea Mungu mpaka shetani atawakataa!
 
Ni kweli ameumia.Lakini amshukuru Mungu kamuepusha na majanga.Endeleeni kumuombea kwani bado ana roho ya uchungu.Otherwise deliverance inamhusu na hiyo roho ya kukataliwa.

roho ya kukataliwa ndo inakuwaje hiyo mkuu?maana dada now ana furaha zake kama hajaumizwa vile
 
Aisee, shukuruni Mungu sio mimi maana ningekuwa natoa adhabu papo kwa papo! Watu mmezidi kumuongopea Mungu mpaka shetani atawakataa!

ha!ha !ha! Mkuu umemaliza yaani maana sijui ungetoa adhabu gani lol
 
Mungu ni mwaminifu na anatenda mambo kwa wakati teba sawasawa na uhitaji wa mioyo yetu,lbd kuna mistake alifanya huyo dada wkt wa kuanza maombi au hakuzingatia pia muda,
 
Marufuku mpenzi wangu kuwa mlokole au kusali kanisa uchwara. Ni RC tu.

Haya ndo yatakayofwatia
 
Marufuku mpenzi wangu kuwa mlokole au kusali kanisa uchwara. Ni RC tu.

Haya ndo yatakayofwatia

Sasa kwani mtu kuwa mlokole kuna nini?ni kweli hamna cha Mungu wala Shetani ni tamaa zao tu
 
Mungu ni mwaminifu na anatenda mambo kwa wakati teba sawasawa na uhitaji wa mioyo yetu,lbd kuna mistake alifanya huyo dada wkt wa kuanza maombi au hakuzingatia pia muda,

Ndo atendwe mkuu?
 
Afu kuna jambo nimeoteshwa juu yako. Yaani kwenye maono umeninunulia nissan navara. Tumika mpendwa.
Aisee, shukuruni Mungu sio mimi maana ningekuwa natoa adhabu papo kwa papo! Watu mmezidi kumuongopea Mungu mpaka shetani atawakataa!
 
Sasa uo uzinzi wenu na mungu wap na wap. Hawa kama ndo walimu wa wenetu kaz tunayo
 
Afu kuna jambo nimeoteshwa juu yako. Yaani kwenye maono umeninunulia nissan navara. Tumika mpendwa.

Ha, ha, ha! Ngoja niliagize brand new faster. Usihofu mpendwa umeoteshwa mahali sahihi kabisa!!
 
mhhhhhh!hiyo hatari mkuu

Ndio maana nimesema Mungu angekuwa anatoa adhabu on spot watu wangekuwa serious na dini. Kuna wakati unakuta watu wanakesha kusali kumbe ni wazinzi kuliko hata wanaoitwa wa mataifa!! Sasa kwa nini umuhusishe Mungu kwenye uzinzi wako?? Si uwe kama walioamua kuonekana wao ni baridi tuu?
 
roho ya kukataliwa ndo inakuwaje hiyo mkuu?maana dada now ana furaha zake kama hajaumizwa vile
Na wewe unajichanganya.Si umesema mpaka sasa hajakubali kuachwa?Na isitoshe kuachwa ni kuachwa tu umie au usiumie.
 
hakuna cha kuoteshwa hapo wala nini
aliamua kumuacha kiaina tu,
 
Back
Top Bottom