Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.

Chuki za kukosa zina mantiki kama walopata hawafanyi kazi na wasiopata wanaweza ku prove hilo, ndo demokrasia, walokosa wakapata, halafu wakashindwa kufanya kazi zao, then ni jukumu la wananchi kuwaondoa na kuwaweka watakaoweza, ndo demokrasia.hivi kila anayekosa uwaziri ni lazima kuipasua ccm na viongozi wake, hivi chuki za kukosa kitu zitaisha lini? na kumbe hawawezi kuikosoa serikali wakiwa na madaraka
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Yeah, huyu mama hana msimamo. Mwanzoni alikuwa kambi ya akina Sitta ila kwa sasa Lowassa damu. Vita vyake vya sasa kuanzia Jairo na hili la JK ku resign anavipigana kwa niaba ya Lowassa. Ila kubwa ni kwamba kama anatetea maslahi ya nchi hata kama anapigania kambi fulani hiyo hainihusuHuyu mama mbona kigeugeu!!mifano ya kigeugeu chake ni kama ifuatavyo,mwanzo alikuwa anampinga lowasa,mara akatangaza rasmi kuwa yupo kambi ya lowasa,akaibua suala la jairo lakini lilipoletwa bungeni akaanza kutetea tena,sasa ameanza na singo ya kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye,na anaendeleza uasi dhidi ya serikali,kisa posho!!siku akiwekwa kati ajieleze ataanza kutafuta mlango wa kutokea!!nec ya tarehe 12 tunaomba ajieleze kama anao ubavu wa kujisimamia,na wanaomuunga mkono nashindwa kuelewa uwezo wao make mwisho wa siku watakosa maelezo.
Uasi wake ni upi. Mimina hapa ili tuwe na mapana ya kutosha katika kulielezea hilooo:A S-coffee:
.........hana maslahi yoyote anayotetea zaidi ya tumbo lake, angekuwa anatetea maslahi ya taifa angekuwa mstari wa mbele kuufanya mswada wa katiba upite badala ya uasi wa kuukwamisha kwa sababu za kijinga kabisa, eti kufanya hivyo ni kupitisha mawazo ya cdm, kama yana maslahi kwa taif shida ipo wapi? kwani katiba ni ya cdm au watz?Yeah, huyu mama hana msimamo. Mwanzoni alikuwa kambi ya akina Sitta ila kwa sasa Lowassa damu. Vita vyake vya sasa kuanzia Jairo na hili la JK ku resign anavipigana kwa niaba ya Lowassa. Ila kubwa ni kwamba kama anatetea maslahi ya nchi hata kama anapigania kambi fulani hiyo hainihusu
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.
washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.
My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
Uasi wake ni upi. Mimina hapa ili tuwe na mapana ya kutosha katika kulielezea hilooo:A S-coffee:
Muongo mkubwa wewe lini alikuambia anataka uwaziri, uwaziri serikali isiyokuwa na dira. peleka chuki zako kwa ndugu ya Jairo. nyoooooo
Bravo Beatrice umefanya kazi nzuri sana, may god bless you
Wewe kwa mambo yanavyokwenda unaonaje? Yuko sahihi ama la!