Atakuwa alikuwa anaendesha kikao cha baraza lake la mawaziri!!

uongo!
Nyuso za "Ukisusa Wenzio Wanakula" katika kikao cha leo cha cabinet, ambacho Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ndio mlolongo wa uongozi wa taasisi hiyo kwa mujibu wa Katiba, ambayo pia inamtaka Rais wa Zanzibar ahudhurie. Japo huwa hajisumbui. Akichelea kuonekana ni Waziri, kitu ambacho amekipinga vikali.
Je ni wakati wa kila upande wa Muungano kuwa na cabinet yake kivyake?

Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Atakuwa alikuwa anaendesha kikao cha baraza lake la mawaziri!!
Kwanini jk asimteue awe mkuu wa wilaya kwani Mimi naiona zenji Kama wilaya tu
Nilijua tu hii statement yangu lazima itamzidua mwajumuiya ya UAMSHO Kama weweYaani wengine hawana isipokuwa umbutwai ,hivi ikiwa kwa mawazo yako Zenji ni kama wilaya ,sawa hilo halina shaka ni kama kaeneo flaniflani hivi ni kanchi kadogo sana ,ila Tanganyika ndani ya India inaweza kuwa kama kijiji cha India ndani ya India labda tuseme pengine ni kama Kerala ,sasa huoni kama unajidharaulisha kwa kutokujua kama nyama si mboga ? Ila Samaki ni nyama kama ilivyo ya ng'ombe au kuku. Hivyo Zanzibar itabaki kuwa Nchi kama ilivyo Tanganyika.
Komandoo alikataa haya mambo