PreGE2025 Sheikh Yakubu Saburia: Amani tuliyonayo mnaona haitoshi, waulizeni Yemen, Libya, Palestine, Syria na Iraq

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.

Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.

"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.

Amani HAIWEZI kuendelea kuwepo sehemu ambayo hakuna haki.
Ndy mana nchi NYINGI alizozitaja shekh hapo zimeingia katika vita Kwasababu ya kutokuwa na haki kati ya serikali na raia. Hatuwezi kuona watu wanapotea kama mbuzi na tukabaki kimya eti Kwa lengo na dhumuni la kuilinda amani. Sasa tutakuwa tunalinda amani au upumbavu na ujinga hapo?
Sheikh kama amekosa hutba za kuhutubia aseme watu tumpatie lakini sio kuwalisha watu pumba kichwani🙌🏿🙌🏿🙌🏿.
Wassalam
 
Weee sheehk ubwabwa hacha zogo........yaani amani ivurugike kisa nini?? Kwani alizaliwa kuwa raisi peke yake inchi nzima??................hiyo amani labda ivurugike ndani kwako..........NO REFORM....... NO ELECTION
 
IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.

Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.

"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.

Rubbish, hakuna amani kama hakuna haki!
 
Mashehe wengi ni majuha.
 
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa of vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.

"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.

Waseng£ ninyi ,mna abuse neno amani .Semeni mnataka Ukondoo wa nchi na si amani ya nchi , pumbavu motherfuckers .Go fvck yourselves , assholes
Amani ya nchi for who ? , kwa watu wanaouawa , kuteswa ,kupotezwa na kuzibwa midomo na kukandamizwa haki zao ?
Huyo shehe mavi anagongwa mbele na nyuma
 
Back
Top Bottom