chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Wewe uliyefeli mtihani wa darasa la nne ndio unaniuliza swali?Jibu swali.
Wewe uliyefeli mtihani wa darasa la nne ndio unaniuliza swali?Jibu swali.
EEeeenHEEeeee!Wewe uliyefeli mtihani wa darasa la nne ndio unaniuliza swali?
Wewe mwenye elimu ya Sunday school naona umetoa bonge la pointi hapo.Ana elimu ya MADRASA yaani ILIMU, ataongea nini cha maana!
Ujinga mtupu. China kuna chama kimoja tu na wamepiga hatua zaidi ya Kenya hao wenye fair election. Hivi aliekuambia fair election ndo maendeleo ndio nani?. Au demokrasi ndio maendeleo? Angalia...nchi za kifalme za Kiarabu..UAE, Saudi Arabia, Qatar n.k hakuna huu ujinga man nchi zao zimepiga hatua kubwa sanaUkimuliza mtanzania yeyote angependa kuishi wapi kati ya Tanzania au uingereza ( ulaya);atachagua uingereza.jiulize kwanini! Nchi za ulaya miaka ya 1848 zilikuwa na vuguvugu kama hili la no reforms no election kwasababu ya unfair elections kwa wakati huo. Ndio maana nchi za ulaya zimeendelea na kila mtu anazitamani. Tusijifiche kwenye kichaka Cha amani huku tunauana na kuibiana kura
Yaani shida kubwa la watu wengi, huwa ni kuongea bila kujiuli6.IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Na ulivyo na akili mgando unakili kuwa hatuna fair election. Jiulize kwanza ikiwa mtu anaiba kura ili awe kiongozi anashindwaje kuiba rasimali za nchi? Kama china Wana chama kimoja kwanini tumekubali kuwa na vyama vyongi? Basi turudi kwenye chama kimoja ijulikane na si huu ujinga wenu mnaoita uchaguzi!Ujinga mtupu. China kuna chama kimoja tu na wamepiga hatua zaidi ya Kenya hao wenye fair election. Hivi aliekuambia fair election ndo maendeleo ndio nani?. Au demokrasi ndio maendeleo? Angalia...nchi za kifalme za Kiarabu..UAE, Saudi Arabia, Qatar n.k hakuna huu ujinga man nchi zao zimepiga hatua kubwa sana
Kwani Urusi na Ukraine ni Warabu wale? Mbona unanyea mdomoni badala ya tundu husika!!?Yemen inapigana na Saudia kule Sudan Dafur wanauana wenyewe kwa wenyewe hata Somalia Syria kote ni wenyewe kwa wenyewe
Ni lugha iliyotumika kuwatisha watu wasifanye mabadikiko tangu 1995, uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mpaka leo miaka 30. Hata hivyo watu wanakufa bila dawa, hawana bima, madaraja mabovu na maisha magumu.IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Unajua maana ya makanisa ya kikristo? Sisi wakristo tunaamini dini zote zimeanzishwa na wanadamu hadi uislamu. Kama Allah ni muweza wa yote kwanini hakumpa uwezo Mohamad kujua kusoma na kuandika. Muongozo wa wakristo upo kwenye BibliaKwani kitendo cha wacristo kuruhusu ndoa za jinsia Moja kupitia makanisa yote Duniani sio vurugu? Au ujui kuwa mfumo Cristo ndio chanzo cha machafuko duniani
Amani pasipo haki haijakamilika.
umenena nyema.IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Hajui chochote, anapayuka tu kama kasuku!.Unajua chanzo cha machafuko nchi hizo?
Wanatuhusu nini!?IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Unaijua na kuifahamu katiba ya CHINA?Ujinga mtupu. China kuna chama kimoja tu na wamepiga hatua zaidi ya Kenya hao wenye fair election. Hivi aliekuambia fair election ndo maendeleo ndio nani?. Au demokrasi ndio maendeleo? Angalia...nchi za kifalme za Kiarabu..UAE, Saudi Arabia, Qatar n.k hakuna huu ujinga man nchi zao zimepiga hatua kubwa sana