Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

majini wake wameanza kuzagaa barabarani na njia panda...jamani kuweni macho hasa mnaopenda kutembelea maeneo ya fukwe.
 
kila naFUSI itaonja mauti, hakuna cha shekh nani wa nini....
 
Wana JF,

Taarifa nilizo nazo ni kwamba Yule shekh na Mnajimu mkuu Africa amefariki dunia jijini Dar leo.

Hii ni kwa mujibu wa Radion One Breaking News
 
Mods, Hizi threads za Sheihk Yahya naomba zichanganywe ibaki moja.
 
Jakaya kwishney,mlinzi wake kaondoka.Mwambieni Jakaya asikanyage tena jangwani kwani akianguka tu haamki tena.
 
Haa kafa siku moja kabla ya mwisho wa dunia....21/5/11...enenda bwana!!hapa duniani taabu tupu!!
 
<br />



Easy Easy,Calm Down!!
 
Ni kweli amekufa? Na kama ni kweli tuseme yule aliekua anadai anamlinda mwisho wake umefika? Maana mlinzi wake ka-rest in peace au kamuachia urithi! Jk pole kwa kumpoteza mlinzi mjaribu yule mngine anaeibukia kwenye mambn hayo awe mlinzi wako!
 


Thank Lord the Merchant of Death and Chaos is finally Gone to HELL. God Bless Tanzania.....
 
Poleni wafiwa maisha ndivyo yalivyo, yana mwanzo na mwisho
 
Poleni wafiwa

kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima atayaonja mauti.
 
Katangulia kutuandalia makao.
Kesho (21.05.2011) wengine WOTE wanamfuata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…