Aliamka asubuhi salama salmin, lakini baadaye akijitayarisha kuendelea na shughuli zake za kila siku hali yake ilibadilika ghafla na wakati anaomba msaada wa huduma ya kwanza alifariki dunia.
usimhukumu. sio kazi yako. mwachie mwenye kazi ya kutoa hukumu kwa wanadamu. ameshafariki ziara yake ya duniani imefikia kikomo. yamfuatayo yako nje ya mikono yetu. nadhani huitaji kuwa Mtanzania kulijua hili. mweshimu marehemu..at least kwa masaa machache ambapo mwili wake tutaendelea kuwa nao hapa duniani. sijaipenda hii comment yako asilani. Hata kama sikuwa nakubaliana na mambo yake. please!
Be serious please, tueleze umeshuhudia msiba nyumbani kwake, umeambiwa na mtu na sababu ya kifo chake nini, ugonjwa, ajali n.k.
And if you are kiding is very bad
otherwise kama hakujitabiria atakufa leo na kafa kweli, basi kazi yote ya utabiri aliyoifanya katika maisha yake ni ya uongo kama hajaweza kujitabiria mwenyewe.
Haya Haya sasa, wale wanaotaka kumdhuru mkulu ndo nafasi yao hii maana mlinzi wake mkuu kaondoka now hadi atafute mwingine mtakuwa mmeshammaliza.