Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
NOTE:
Nathani mhusika atakuwa yule jamaa yetu how pathetic can that be...
where does it say kwamba ni yeye???? au mimi sioni??Yaani wanamdhalilisha mtaalam wa rais wetu? Haiwezakani lazima tuandamane au tuvunje uhusiano wa kibalozi!
where does it say kwamba ni yeye???? au mimi sioni??
where does it say kwamba ni yeye???? au mimi sioni??
Waumini wa mashetani ndivyo walivyo wanafikiri nchi zote ni zao, siku akifa kwenye kaburi lake nitaongeza jiwe la kusagia aumie zaidi.
Comoros expels Tanzanian for 'poll sorcery' Send to a friend Friday, 24 December 2010 22:36 digg
Moroni. The Comoros has expelled a Tanzanian witch doctor suspected of having been hired to rig weekend elections with his magic, police said Thursday.
The juju man arrived in the Indian Ocean state two weeks ago and was repeatedly seen at the home of Mr Mohamed Abdoulhoihabi, the governor of the archipelago's main island of Grande Comore.
A senior police official who asked not to be named said the Tanzanian citizen was arrested on Tuesday on suspicion of working to influence the weekend's polls and was deported on Wednesday.
"He's a friend, he used to come for meals regularly," the governor's wife complained after enquiring about the Tanzanian's fate with the police.
"Nothing is clear or official. We are being told he is a crook but no warrant was issued... Internal security confirmed his arrest and simply told us that witchcraft was banned," she added.
Mr Abdoulhoihabi, once a close aide to Comoran President Ahmed Abdallah Sambi and now an opposition politician, will face a ruling party candidate as he attempts to retain his job tomorrow.
The federation is holding a national presidential ballot today as well as elections for the posts of governor on each of the three islands: Grande Comore, Anjouan and Moheli. (AFP)
Comoros expels Tanzanian for 'poll sorcery'
NOTE:
Nathani mhusika atakuwa yule jamaa yetu how pathetic can that be...
Great thinker try to connect the dots unataka hadi ushikishwe kidole kuelekezwa.....think ni mchawi gani huwa anajihusisha kwa wazi na chaguzi zetu.where does it say kwamba ni yeye???? au mimi sioni??
lazima atakua mtaalam wa wajini na ushirikina... hahahaaaaaaaaaaa.... kumbe ndo tushakua wataalam wa kuiba kura kichawi
Nyie mnaomtetea nina wasiwasi nanyi inawezekana ni wasaidizi wake, maana watu wa aina ya kina Shehe Yahaya lazima wawe na misukule iliyoenda shule bila yenyewe kujijua.Hiyo article niliisoma jana na wala haikutaja jina la mtu
Come of age great thinker! Yeye ndiye kuhani mkuu wa masheitwani na amedeclare publicly ana uwezo huo.
Kuna hadithi moja hivi, fisi alipotaka kumtafuna mwanakondoo alimwambia ulinitukana, kondoo akasema sijawahi kukutukana ndipo fisi akamwambia kama siyo wewe basi ni babu yako maana mnafanana kila kitu
Heri ya Krismas na upendo wa Xmas Rev. heheheh anatunza roho za watu...Kwanini wasingemalizana naye kwa bunduki!
Angalia usije kuwa ndondocha lake kalileta JF limtetee bila wewe kujijua.What about your fate ? mnabidii ya kuunga unga stori ilimradi ifananie na mlilokusudia!!
Ulipo lala, sie tulikuwepo jana !